Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dodoma stadium
1768913582335.png

kuna watu wanaogopa kupiga picha za ndan ya uwanja
 
this was 10 years ago izo blue buses dont work anymore, however your news izzzz today 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
You think saying it's 10 years back will validate anything? Kuna wenye walikana picha humu na kusema ni za 1990s wakati mitungi zenu tatu za blue are clearly visible in those pictures. You aren't the first person and definitely won't be the last.
 
show us any latest pic ndugu mzungu mweusi 🤣 🤣 , sisi tumepost picha ya jana yenu sisi tuonyesha any latest because hizo gari vioo havifunguki! aya twende kazi ndugu mkenya
 
You think saying it's 10 years back will validate anything? Kuna wenye walikana picha humu na kusema ni za 1990s wakati mitungi zenu tatu za blue are clearly visible in those pictures. You aren't the first person and definitely won't be the last.
alafu mbna picha za talanta zimepungua uku shida nn
 
Again, does that validate anything?
yes it means no one does that anymore, however your matatu pic was just a yesterday pic means its your life style and i can confirm that because at one point nkiwa kenya kuna ile sehem i guess national musuem kwa nyuma nlipita apo nkaona bonge la foleni 🤣 🤣
 
National museum inapatikana wapi CBD? And then just use Swahili, kiingereza hukijui
 
sjui ni national museum or what its painted like yellow or orange something like that, then opposite kuna gari zinaenda i think utawala kitu kama icho
 
Back
Top Bottom