Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At this point, my conclusion is that Tanzanias have a fetish for Kenyan validation🤣🤣🤣
You can’t even begin to deny
Na imagine if you ask them to show you the trade balance by the time this video was recorded they will never cause Kenya had a surplus against them😂😂
 
bila shaka shuleni umepanga foleni sana na hukuelewa kwann unapangishwa folen

hahaha hata hauelwei ustaarabu maana yake nini, kupanga foleni ni ustaarabu unaotumika dunia nzima iliyostaarabika na siyo kugombania na mwenye nguuvu ndio anakula hiyo ni tabia ya wanyama porini na siyo binadamau civilized ...
 
Unaongelea habari za mwaka gani?

Ni kawaida Sasa hivi abiria kupanda Dala Dala kwa foleni na mpangilio.

Screenshot_20260120-110952.png
 
Back
Top Bottom