stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,548
- 39,806
hadi wewe unajua mpira
View: https://www.tiktok.com/@ourafricanfootball/video/7447542732991565061?is_from_webapp=1&sender_device=pc
sema huyu jamaa aliona mbali sana
Alikosea.
Sisi tayari tumesha arrive kwenye elite group kitambo swala ni pale TFF na aina ya makocha wanawapa kandarasi.
kila nkiwaza mechi ya ufunguzi kenya wanacheza na senegal pale mende stadium, pawa inaishaAlikosea.
Sisi tayari tumesha arrive kwenye elite group kitambo swala ni pale TFF na aina ya makocha wanawapa kandarasi.
Timu yeyote watakayo anza nayo ni majanga.kila nkiwaza mechi ya ufunguzi kenya wanacheza na senegal pale mende stadium, pawa inaisha
Aren’t you forgetting something?Why do African leaders afraid of freedom and will of their citizens?… Now Museveni has abducted his opposition opponent, Bobi Wine … on Election Day !. Kenya definitely is an island of democracy in a sea of autocrats and power hungry governments.
kwahio baada ya mechi 3 wanaacha uwanja wageni watumie wao wakiangalia kwenye tv 🤣Timu yeyote watakayo anza nayo ni majanga.
Hao watakuwa washangiliaji tu. Fasta wanatema bungo 🚮kwahio baada ya mechi 3 wanaacha uwanja wageni watumie wao wakiangalia kwenye tv 🤣