Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na mi nauliza ni msanii gani hapo bongolala yuaweza kulipwa Ksh. 1M ndani ya bongo?
uzuri wa wasanii wakibongo wanazunguka kuchukua pesa nchi zingine na kuleta nyumbani kuzitumia na kufanya maendeleo ndio maana wasanii wengi wakibongo wanamaendeleo kimziki na kimaisha tanzania na hawa ni baadhi
nyumba ya msanii jux akimalizia ujenzi




msanii idris



ney wamitego



nyumba za msanii diamond platnumz




msanii matonya



nyumba za vijana wadogo kabisa yamoto band





msanii masanja




nyumba nyingine ya diamond platnums



nyumba ya msanii Hbaba
 
Now between you and joto la jiwe who is saying the truth? Yeye data zake ametoa wapi na wewe zako umetoa wapi? Just shows how good you people are good at cooking figures to suit your arguments
wwe kila siku nikuletee same data😀😀😀😀😀😀😀
 
Wakenya wataleta ya akotheee yule malaya wa kimataifaa
 
basi baba,yatosha.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
they wish a public figure like her would visit their country.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ngoja mazee ya wivu yaje na mapovuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…