Can you prove your point my friend?, tuwachane na gause work ndugu yangu😂😂😂... najua unatetea nchi yako but tuende na facts, sawa!?...
Nini cha kuchekesha hapo? Naongea facts
Kama ni wildlife hamtufikii; Serengeti, Ngorongoro, Katavi, Ruaha, Gombe, Mikumi, Tarangire, Saadani nk. Sisi huku national park zimesambaa from North to South to East to West. 10% ya simba wote Africa wanapatikana hifadhi ya Ruaha pekee
Kama ni coast hamtufikii; Zanzibar City, Pemba, Mnemba Island, Tanga, Dar es Salaam (hapa kuna islands kama Sinde and Bongoyo), Pwani, Lindi na Mtwara
Sisi tuna 3 biggest lakes of Africa; Victoria, Tanganyika na Nyasa (Lake Malawi) zote zinashikilia world records na bado tuna lakes nyingine huko kama Eyasi, Rukwa, Burigi, Ngosi na Natron ambalo nalo lina maajabu yake mengi ya kuvutia
Kama ni milima hamtufikii, kuanzia Kilimanjaro, Meru, Oldonyo Lengai (Active Volcano), Uluguru nk
Tuna maeneo kama Mwanza ambayo yamejaa miamba (rocks) everywhere, including the famous Bismarck rocks
Islands; Ukerewe, Unguja, Pemba, Bongoyo na Mafia (hapa kuna best diving experience kuliko anywhere in Kundustan)
Maeneo ya kijani yenye rutuba na mvua nyingi hapa Tanzania ni mengi sana, we have only few semi arid places which are fertile too