stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,573
- 34,168
Sasa wewe surely,unaji aibisha na your fellow country men, huoni unajipiga own gaol my friend!?😂😂😂😂😂...okay let's say "Tanzania has every landscapes and topographical features except deserts", ni topographical feature gani nyegine tz ikonaye kenya haina?😂😂😂😂 apart from deserts, kumbuka kenya has more more lakes and rivers compared to Tz despite the size difference 😂😂😂😂...But Tanzania has more beautiful landscape than Kenya. Kitu ambacho kinakupa jeuri kusema Kenya ina more diverse landscape ni hiyo desert ambayo sisi hatuna
Ila our landscape is better and we have far more touristic attractions than Kenya
are you aware opening is done on this stadium? and its kenya who opens everything mtacheza na one of the teams kwenye group lenu that day, yale ya senegal yakitokea open day hua uwanja mtauchukiaMende inakaa poa
View attachment 3528124
Sasa wewe surely,unaji aibisha na your fellow country men, huoni unajipiga own gaol my friend!?😂😂😂😂😂...okay let's say "Tanzania has every landscapes and topographical features except deserts", ni topographical feature gani nyegine tz ikonaye kenya haina?😂😂😂😂 apart from deserts, kumbuka kenya has more more lakes and rivers compared to Tz despite the size difference 😂😂😂😂...
Sasa nyinyi mna large number of lakes sisi tuna bigger lakes and longer coastline.Sasa wewe surely,unaji aibisha na your fellow country men, huoni unajipiga own gaol my friend!?😂😂😂😂😂...okay let's say "Tanzania has every landscapes and topographical features except deserts", ni topographical feature gani nyegine tz ikonaye kenya haina?😂😂😂😂 apart from deserts, kumbuka kenya has more more lakes and rivers compared to Tz despite the size difference 😂😂😂😂...
Alafu I'm not 100%sure but kenya, Morroco,Namibia and Egypt are the only places on the continent where the desert meets ocean ...Kenya arguably has the most diverse landscapes in the continent my guy,outside south Africa,Morroco and Algeria ... from the beautiful Sand Dune deserts, white/brown/golden sandy beaches, Icelands,cliffs,caves , canyons, valleys, lakes,rivers, snow capped mountains, rolling hills and mountains, the Savanahs, bushland, woodlands,grasslands,cool green highlands e.t.c If your confident and ready twende battle ya landscapes!🤝
Can you prove your point my friend?, tuwachane na gause work ndugu yangu😂😂😂... najua unatetea nchi yako but tuende na facts, sawa!?...Sasa nyinyi mna large number of lakes sisi tuna bigger lakes and longer coastline.
Pia Tanzania ni better than Kenya kwenye topographical features, sure kuna vitu tunavyo na nyinyi mnavyo pia but shida ni kwamba Kenya mbavyo vichache. Sisi tunavyo vingi ndio maana Tanzania inawazidi nyinyi wote kwenye touristic attractions
Na si landscape pekee tunawazidi kwa wildlife, beaches, greenery, beautiful lakes, fertile soil, minerals etc. In short when it comes to nature Tanzania ndio imebarikiwa zaidi hapa East Africa
Naona umeanza kuwa serious, I like that👏... umeanza ku battle na proof na sio emotions,uzalendo na delusions.Down below is marsabit and Mount Longonot Crater, home of a number of biodiverse creatures...Chill nioneshe somewhere like Ngorongoro Crater in Kenya
Kumbuka hii ni crater kubwa na wanyama wanaishi humo ndani
View attachment 3528613View attachment 3528614View attachment 3528615View attachment 3528616View attachment 3528617View attachment 3528618View attachment 3528619View attachment 3528620View attachment 3528621
Nini cha kuchekesha hapo? Naongea factsCan you prove your point my friend?, tuwachane na gause work ndugu yangu😂😂😂... najua unatetea nchi yako but tuende na facts, sawa!?...
As I said, vitu ambavyo tunavyo huku nyinyi mna their cheap versionNaona umeanza kuwa serious, I like that👏... umeanza ku battle na proof na sio emotions,uzalendo na delusions.Down below is marsabit and Mount Longonot Crater, home of a number of biodiverse creatures...View attachment 3528637View attachment 3528638View attachment 3528639View attachment 3528640View attachment 3528641View attachment 3528643
View: https://www.instagram.com/reel/DTVcpZ5DDxT/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
View: https://www.facebook.com/RFIsw/posts/pfbid0Y33X3o2gj83MJfxkVe31PYsMMAXh1U1mop5Hid6FGWEurKqWvteEwnXWoin575RUl?__cft__%5B0%5D=AZYqtX5C80TneDrSrBeVbSpr_qHxg2MP90mG_k0ocToxiY7-TvT-zzLU6i6o2X4e7DMZR994w0nRtn0HFis1hx2XwjOQze3hT5mnHeLBPXC5nqLtsTnFFsTYQFWfNE6sRqjLCKTsK-Ctpqgtxx9Md5gH81QUXQIQeSOvLlJI3PSOHg1r_QstvcDbevgXYeJhCJqIL4sQTObriZIuXyoTAcSW&__tn__=%2CO%2CP-R
MY TAKE
Eti Wakundustani wanadai Ethiopia inawajaribu!![]()
![]()
![]()
Huo mzigo ulikuwa behewa 30 na vichwa vyake. Zilizowasili ni 6 tu.double decker zipo mbna, ni zile route ya kwenda mwanza, kigoma ndo kuna watu shazi
View attachment 3528545
View attachment 3528546View attachment 3528546
aah wapi unaji-compare na nchi ina 3 major international airports that are competing to each other n the fourth Msalato is about to be opened! BTW si kweli JKIA ina-handle 3 times the number of traffic handled y all Tanzanian airports! Mind u Arusha airport is also international as we speak!Kenya is the only country in East Africa that can reply to that Ethiopian airport going by the number of Air traffic we have. JKIA alone handles 3 times the number of traffic handled by all Tanzanian airports.
JKIA total PAX is 11M, all Tanzanian airports total PAX is 4.7M.aah wapi unaji-compare na nchi ina 3 major international airports that are competing to each other n the fourth Msalato is about to be opened! BTW si kweli JKIA ina-handle 3 times the number of traffic handled y all Tanzanian airports! Mind u Arusha airport is also international as we speak!
aawapii!JKIA total PAX is 11M, all Tanzanian airports total PAX is 4.7M.
Mbona unaanza kuwa fala tena I thought labda wwe uko shule bado una akili....your country is huge definitely features kadhaa itakua more than Kenya, argument ilikuwa ni topographical feature gani TZ ikonayo kenya haina! Ulileta ngorongoro which sija dispute Ngorongoro is larger, nikakuletea marsabit na mount Longonot crater to show kenya has those to, despite being smaller ... hebu nionyeshe any desert in Tz ama where desert inameet ocean in Tz...i mean kenya has the the largest desert lake(lake turkana) in the whole world yani dunia mzima Tanzania ina feature gani dunia mzima haina boss!?...As I said, vitu ambavyo tunavyo huku nyinyi mna their cheap version
Sasa kama hii uliyopost utalinganisha na Ngorongoro crater kweli?
Kenya mna attractive places lakini za Tanzania ni better, yani za Kenya ni kama tu cheap version ya zilizopo Tanzania
This is just a worse version of Ngorongoro crater just like how Maasai Mara is a cheap version of Serengeti, au jinsi Mount Kenya ilivyo cheap version ya Mount Kilimanjaro. We always have the premium ones 🤣