Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,583
- 15,467
Hapa ni Mbeya mtaa wa JB na Iwambi
Wakenya mnapaswa kuelewa huo uswazi mnaoona Tanzania ulijengwa miaka ya 2000s huko. Sikuhizi Watanzania hawajengi nyumba mbaya. Most average Tanzanians nowdays wanajenga nyumba za aina hii. Na pia chakula Tanzania sio shida, tuna chakula cha kutosha ukifananisha na Kenya. Sasahivi hakuna uswazi wowote unaojengwa Tanzania, maeneo ya uswazi ni hayohayo machache. Uswazi utaisha kwa sababu Watanzania wa kawaida sikuhizi wanajenga nyumba za design hii and there's no going back. Huku uswazi unaisha wenyewe naturally bila kujenga affordable housing nyingi
Bali ni maisha ya watu yanakuwa bora na kisha wanajenga nyumba zao wenyewe
Huku Tanzania maisha ni mazuri kuliko huko kwenu Kenya. Average citizen in Mbeya anaishi maisha mazuri kuliko average citizen in Nairobi
Just imagine hizo bustani zote unazoziona hapo kwenye neighbourhood ni maharage. Mtanzania wa kawaida anakula milo zaidi ya mitatu daily akitaka bila shida yoyote
Njooni Tanzania. Life ipo huku