Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don't bring you stupidity here, your exposure to a lot of information is very very low.


View: https://x.com/i/status/1893602528505270606

hujajibu swali, which company ya kenya inatengenezea mabus tanzania? na pia nchi gan afrika inatengeneza any bus, i dont mean assembly maaana hata sisi tunazo such companies

alafu huyo anetengeneza buses au assembly wa kenya kazi yake ni nn mbna mnapanda mafuso
 
hujajibu swali, which company ya kenya inatengenezea mabus tanzania? na pia nchi gan afrika inatengeneza any bus, i dont mean assembly maaana hata sisi tunazo such companies

alafu huyo anetengeneza buses au assembly wa kenya kazi yake ni nn mbna mnapanda mafuso
Buses used in Tanzania are built in Kenya. That's a fact.

Go and ask Katarama where they buy their Marcopolo buses.
 
Unapiga mashamba ya mihogo picha ATI greenery everywhere, wewe ushaiona shamba ya kupima that is not green?
Huku Mbeya watu wanapanda maharage mbele ya plot za nyumba zao ukifika msimu wa mvua. Tena huku mvua zinanyesha from November to June, kwa hiyo ukipanda maharage even without much care yanastawi yenyewe
Hiyo ni neighborhood lakini bado ina open spaces kwa sababu ni new neighborhood, kwa hiyo kwenye hizo spaces watu wanapanda maharage

Kwa Mbeya hayo sio mashamba, hizo ni bustani tu za nyumbani. Ukienda nje ya jiji ndio utakutana na real farms. Huku ni green kila sehemu yani panakaa Switzerland
 
Kama Mbezi beach imekaa hivo for decades sasa itakuwa hii. 🤣 🤣
This place used to be bush too only few years ago. Ila sasahivi baada ya watu kuanza kujenga nyumba serikali imeanza kuweka barabara mitaani. Na sio mbali na hiyo neighborhood niliyopost mwanzo
Mfano hii barabara bado inakuwa constructed kwa hiyo elewa unapoambiwa barabara zitajengwa hapo soon
PXL_20260110_124222313.jpg
 
Back
Top Bottom