see how useless your city is, modern cities have purpose! recreation, entertainment, tourism... but why would i travel to attain cholera, and ofcourse i have been there before and it was because i was dating some chick there not because of anything specialUje ukenue meno
Nimetuma huko juu. Fuatilia mada imeanzia wapiOngea na data mkuu. Wacha kuropokwa.
hakuna mahali nimelaumu mwananchi, najua ni kosa la serikali kuruhusu kila mtu kujenga vibanda kiholela kila mahali.
siyo kila mahali ni pakujenga kila kibanda, dar ina square km >1500 ni nyingi sana lkn hakuna hakuna park ya watu kupumzika, viwanja vya michezo vya watoto na vijana vyote vimejengwa vibanda, ukiangalia bird eye view ya dar unaweza kulia, ushawahi kutua dar na ndege halafu ukaangalia chini mabati kutu kila mahali, not good.
ukiingia dar unatokea nje ya nchi kwa hali ya kawaida mtu anakuwa na shauku ya kuona mji lkn kuanzia kibaha kushuka haivutii kabisa, vibanda, gereji bubu kila mahali magenge ya nyanya na mkaa just chaos, ukiangalia mabondeni kimara wamejenga kiholela no planning, mji una watu zaidi ya milioni 5 lkn hakuna highway system ya kuzunguka mji, kuna watu wanatumia masaa 4 kwenda na kurudi kazini kila siku kwenye usafiri tu, not good, dar siyo mji beautiful kabisa yaani, na ukiniuliza mimi dar is a lost cause, labda tujaribu dodoma na miji mingine kwa kujifunza kutokana na makosa tuliofanya …
Sio nyinyi mnaiitanga Naipori kwa sababu ya misitu nyingi? 😅😅Ati Dar hakuna Greenery unaongea nini wewe? By the way miti pekee haitoshi kuleta hewa safi, mji wenu ni congested, industries hazipo mbali na city, magari mengi yanaendeshwa kwenye eneo dogo na ukumbuke magari yanachoma fuel then smoke inakuwa released to the atmosphere, takataka zenu mnachoma hapohapo. You produce a lot of smoke ndio maana jiji lenu lina hewa chafu ukifananisha na miji mingine ya Africa.
Dar miti ipo, na air pollution ni kiwango cha chini compared to Nairobi
View attachment 3521687
"Misitu MINGI"Sio nyinyi mnaiitanga Naipori kwa sababu ya misitu nyingi? 😅😅View attachment 3521764
Remember two of your Presidents said that Nairobi is like London to Tanzanians.see how useless your city is, modern cities have purpose! recreation, entertainment, tourism... but why would i travel to attain cholera, and ofcourse i have been there before and it was because i was dating some chick there not because of anything special
Remember there are a lot of Cars and industries in Nairobi than entire East Africa Combined."Misitu MINGI"
Anyway, hata misitu mingi haijawasaidia kuondoa air pollution
I wonder the amount of smoke you guys produce per day 😂😂
I bet Dar is a modern citymodern cities have purpose! recreation, entertainment, tourism
when was it and which year is todayRemember two of your Presidents said that Nairobi is like London to Tanzanians.
If you only took a 1 hour flight or a bus ride perhaps it will demystify the propaganda they feed y’all daily."Misitu MINGI"
Anyway, hata misitu mingi haijawasaidia kuondoa air pollution
I wonder the amount of smoke you guys produce per day 😂😂
Your city is very congested, that's whyRemember there are a lot of Cars and industries in Nairobi than entire East Africa Combined.
This is shakahola republicactually the most beautiful rendered
View attachment 3521180View attachment 3521181View attachment 3521182View attachment 3521183
View attachment 3521185
View attachment 3521187
btwn do you know its voted as the city with the worst smell in africa?
Ebu nionyeshe where Nairobi ranks 2nd? Your Dar is a slum is a village, hata haikuangi kwa hizi rankings, so how do you compare it with Nairobi yet data ya kwenu haiko?Nimetuma huko juu. Fuatilia mada imeanzia wapi
Wewe umedandia usichokielewa
sasa kama Dar ni slum nairobi itakuaje?Ebu nionyeshe where Nairobi ranks 2nd? Your Dar is a slum is a village, hata haikuangi kwa hizi rankings, so how do you compare it with Nairobi yet data ya kwenu haiko?
World Air Quality Index (AQI) Ranking | IQAir
Keep track of the most polluted cities in the world with our air quality index (AQI) ranking.www.iqair.com
Nairobi is the GOAT of slumsEbu nionyeshe where Nairobi ranks 2nd? Your Dar is a slum is a village, hata haikuangi kwa hizi rankings, so how do you compare it with Nairobi yet data ya kwenu haiko?
World Air Quality Index (AQI) Ranking | IQAir
Keep track of the most polluted cities in the world with our air quality index (AQI) ranking.www.iqair.com
Remember there are a lot of Cars and industries in Nairobi than entire East Africa Combined.
Unaumwa mavi! Unaongea hivyo wakati hamna BRT system na hamna mining activities zinazohitaji trucks! How did u come to that conclusion while the largest logistics- n passengers bus companies aside tourvans companies r in Tanzania ? Ati Nairobi has more cars than the rest of EA? Matatus?
Hua munapenda sana kuropokwa yet numbers don't lie.Unaumwa mavi! Unaongea hivyo wakati hamna BRT system na hamna mining activities! How did u come to that conclusion while the largest logistics- n passengers bus companies aside tourvans companies r in Tanzania ? Ati Nairobi has more cars than the rest of EA? Matatus?
Hivi Ukunduni kuna mega companies of Abood n Shabiby level?
Kwahiyo gas tu pekee ndio inafanya muwe juu? Unajua the number of mining firms zilizo Tanzania na zile ziko eastern DRC zinazosafirisha madini? Do u even know how many major Tanzanian oil distributors r in Ukunduni?Hua munapenda sana kuropokwa yet numbers don't lie.
Gasoline consumption in Africa | TheGlobalEconomy.com
The average for 2024 based on 53 countries was 24.98 thousand barrels per day. The highest value was in Nigeria: 320.5 thousand barrels per day and the lowest value was in Eritrea: 0.24 thousand barrels per day. The indicator is available from 1980 to 2025. Below is a chart for all countries...www.theglobaleconomy.com
Jet fuel consumption in Africa | TheGlobalEconomy.com
The average for 2024 based on 53 countries was 4.21 thousand barrels per day. The highest value was in South Africa: 33.18 thousand barrels per day and the lowest value was in Lesotho: 0.01 thousand barrels per day. The indicator is available from 1980 to 2025. Below is a chart for all...www.theglobaleconomy.com