Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa.
 
We jamaa ni taahira kweli kwani skyline imepata maana nyingine mpya? Tunduma tu ina skyline

Yaani naislum kuongeza vijengo ushenzi ndio unataka kubadilisha definition ya skyline πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bongolala, so kati yangu na wewe who forces issues nani mjinga?

You said that this picture below does not qualify as a skyline

...and you are now telling us sijui Tunduma iko na skyline. Kwamba a city like Nairobi haina skyline but a village center in Tanzania has one! Is this how blind patriotism can make you u bend?

That's why i asked you a very simple question: does Dar have a skyline? If you can't answer this question then you better keep quiet
 
Io
 
Si ulisema you don't care about my education ama. Hiki nini unaandika. Why are you obsessed with my education so much πŸ˜†
Why can't you just chill until that day you will hold a bachelor certificate in your hand? Unapiga kelele hapa yet you don't have anything.
 
Aerial view ya uwanja mpya wa morocco,unaonekana upo mbali sana na mji,nakumbuka kunyan walitucheka sana ule uwanja wa arusha kujengwa nje ya mji
 
Why can't you just chill until that day you will hold a bachelor certificate in your hand? Unapiga kelele hapa yet you don't have anything.
Always nakaa kimya kuhusu elimu, huwa naongea kuhusu Kenya vs Tanzania tu. Lakini wewe kila mara unakuja hapa unaanza kuongelea elimu yangu, wewe ndio unapenda kudiscuss kuhusu elimu yangu. Why?
 
Always nakaa kimya kuhusu elimu, huwa naongea kuhusu Kenya vs Tanzania tu. Lakini wewe kila mara unakuja hapa unaanza kuongelea elimu yangu, wewe ndio unapenda kudiscuss kuhusu elimu yangu. Why?
Because you are an idiot.
 
Because you are an idiot.
Basi, mimi nitaendelea kuitetea elimu yangu every time ukiitaja. Kama hutaki kuisikia basi hakikisha hauongelei elimu yangu. La sivyo utazidi kuumia moyo bure, maana suala la mimi kuwa University student in one of the best Engineering schools in Tanzania linakuumiza sana πŸ˜†πŸ˜†
 
Which school is that?
 

Kila kitu kina faida na hasara, horizontal vs vertical city building zote zina faida na hasara
Binafsi napenda Tanzania way of building cities, zinachukua sehemu kubwa kwa sababu kila mtu anataka kujenga nyumba yake, badala ya kubanana kwenye appartments, na watu wakijenga nyumba lazima huduma ziwafuate huko ndio maana unaona Dar 30km from the city bado kuna banks, markets etc though I agree it's costly
Halafu miaka 300 ijayo hizo nyumba hazitakuwepo mkuu, ardhi inatosha sana, lazima baadhi ya nyumba zitakuwa demolished, ardhi haijawahi kuwa kikwazo
Both ways zina faida na hasara, na kwa maoni yangu napenda style yetu ya ujenzi, kuliko ya Kenya ya kukaa kwenye appertments ili kuminimize land usage
Sisi hatuna uhaba wa ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…