Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2021 mara baada ya kifo cha Magufuli alitembelea Kenya na ndiko alikotoa tamko la kijinga sana "Na nnaenda kuifungua nchi".
 
Every country needs an army/weapons etc. The point is do we really need those large military with heavy sophisticated expensive equipments?F16s next F35? In my opinion NO we have other important areas to channel these funds we waste on weapons.
I agree when it comes to overspending, however at the moment, I don’t think we have an optimal gear yet. We all have to have some on standby cause you never know .
 
Ndio maana wenzako wanakusema unaangalia sana movie.
Israel ni miongoni mwa nchi zenye ADS dhaifu na Iran ndiye aliyethibitisha hilo.
Mashambulizi ya Iran kuelekea Israel ya June na October 2024 yalionesha kuwa Israel wana mifumo dhaifu sana ya ulinzi wa anga. Tena usizungumzie vita ya June mwaka huu Israel aliishiwa kiasi iron dome inajibutua yenyewe. Mifumo ya ulinzi iliyoweza kuzuia hypersonic missile za Iran tena kwa uchache ni ya USA, France na UK. Pasi na hizi nchi tatu kupeleka mifumo yao ya ulinzi Israel basi katika mashambulizi yote ya Iran Israel ilikua igeuke jivu.
Rejelea kwa Iran,shambulizi la Israel la 2024 la kulipa kisasi Iran,Israel alitumia fighter jets 100+ kwa mujibu wa vyombo vyao wenyewe Israel Times of Israel. Ila Iran kwa kutumia mifumo yake ya ulinzi ya Bavar-373 na Khordak-14 ilizuia kwa 90% shambulio la Israel. Ni significant damages tu zilitokea Iran. Tena Israel ilitumia ndege 100. Sasa jiulize nani ana ADS bora kati ya Iran na Israel.
Wacha kuangalia sana movie.
 
Wacha uongo wewe. Vita ipi Israel alishinda dhidi ya waarabu!?
Unajisahaulisha kuwa vita zote alizopigana Israel nyuma yake kuna wanajeshi wa UK na USA.
Hata hiyo camp david Accord ilisainiwa kwasababu waarabu walishika mpini na Israel alishika makali.
Kutokana na vita ya Yom Kippur ya 1973 wanajeshi zaidi ya 30k wa Israel walikua mateka ndani ya Misri. Sinai peninsula ilirejeshwa makazi yake makuu makazi yaliyobakia yalikua yale ya mpakani. Utasemaje Israel alishinda? Angekataa kusaini mkataba wa Camp david askari wake wote elfu thelathini wangechinjwa Misri.
Achana na hiyo vita,embu kaisome operation bint jubeir ya 2006 ambayo Israel alipigwa na kuburuzwa kuanzia Bint jubeir hadi Shebah farms na kundi la Hizbollah.
Achilia hivyo,rejelea June war dhidi ya Iran mwaka huu Netanyahu alivyoomba msaada USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…