Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani kuna ubaya gani kucompare Mwanza na Mombasa?
Mombasa imeizidi Mwanza kwa mbali sana ndio maana. Same way you can compare a lion to a tiger but you can't compare a lion to a cheetah. You compare things that are of similar size.
 
Hatuna shida ya udini ndo maana watu wanamshamngaa huyo mhuni
Kumbuka huu uzi ni battle kati ya Kenya na Tanzania. Wengi wenu of course mtajaribu kuficha uchi kidogo ila ukienda kwa platform zingine za Watanzania watupu utapata mitusi ikiporomoshwa tu. Hapa Afrika Mashariki ukiondoa Somalia, Tanzania ndio inaongoza kwa udini.
 
Hapo unataja Somalia ili ionekane na sisi tupo kwenye very bad condition.
Somalia hadi wanauana, ni more than just udini wa kutukanana facebook, kule udini upo kwenye level ya Terrorism kabisa
Kwanza hata Kenya imewahi kushambuliwa na Al Shabab juu ya udini. Sisi hatujawahi
 
Kwa sababu kwao kuna ukabila basi analazimisha na Tanzania kuwe na udini.
 
Kuna tofauti ya terrorism na udini. Alshabaab ni millitia ya nchi jirani iliyoattack Kenya kwa sababu ya grievances za kisiasa na nimekueleza hivo. Vita vya Somalia sio vya udini bali ni siasa na wanauana waislamu kwa waislamu. Kando na hilo, Somalia kuna udini sana japo huo udini haujaleta shida ya mauaji popote maanake Somalia 98% ya population ni Waislamu. Mimi nimeishi Somalia na nilipokuwa huko, niliona shida ya kidini ipo. Bahati yao wengi wao ni Waislamu ila ukienda huko uwe Mkristo unapata wameanza kukuonyesha kaubaguzi fulani hivi hadi saa zingine inabidi ujifanye Mwislamu ndio maisha kidogo iwe smooth. Somalia ingekuwa na Wakristo zaidi ya asilimi 10 kungekuwa na shida sana.
 
Hakuna udini Tanzania, but tunawaonya tu, wale wanaoleta chokochoko za udini. Mimi ni Mkristo, Mke wangu ni muislam. Watoto wangu wanaenda Kanisani na Msikitini. Wao ni Wakrislam
 
Hao globalist wanayapata hao madini na rasilimali zote bila shida yoyote hata bila vita hao no wahuni tu wanaotaka kutakatisha madaraka tena wakati wa vita watapata shida ya usafirishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…