Basi watu wanaochukia dini za wengine hapa Tanzania wapo ila ni wachache sana ukifananisha na wasiochukia dini za wenzaoThat is how discrimination works bro. Mtu hawezi kwambia face to face ana chuki na wewe, utajua mitandaoni. Hata hawa wanaoisema Kenya vibaya nikikutana nao one on one wataongea mambo tofauti sana.
Roger that.Sidhani kama unamuelewa vizuri huyu jamaa.
Nitakupa scenario moja kuhusu signal and noises, kutoka kwa mbwa.
Huyu mnyama, anauwezo mkubwa sana wa kunusa, anaweza kunusa harufu ya tone moja la damu lililodondoka na kupotea kwenye Olympic size swimming pool.
Wengi watanusa harufu ya chlorine kwenye swimming pool ila mbwa, Mungu amempa uwezo wa kutambua kuwa mbali na harufu ya chlorine, kuna damu.
Kiufupi mbwa anauwezo wa ku ignore noises alisikiliza signal.
Usijali noises anazoandika huyu Venus Star sikiliza signal. Katika mambo 1000 atakayoongea kuna signa huwa anatuma, mfano husema, " acha emotions" na hapo juu kasema, " deception..." msome vizuri.
Kwa wakatoliki namuunga mkono jamaa.Nilimu ignore kwa wiki kadhaa, baadae nikamu unignore nilidhani atakuwa amepunguza comments zake za namna hii. I guess I was wrong
Hatuna shida ya udini ndo maana watu wanamshamngaa huyo mhuniNilikwambia mna shida ya udini ukapinga. Umejionea sasa?
Kwani kuna ubaya gani kucompare Mwanza na Mombasa?This Mwanza is what some of you wanted to compare with Mombasa? Mnafaa kuwa serious saa zingine.
Isome tena, hapo nilipost kibahati mbaya, kabla sijamslizia.Ndani ya noises zangu kuna ukweli mtupu.
Mbona Tec walikuwa wanatoa matamko miaka yote, hata kwa Mkapa, Kikwete na Magufuli walitoa nyaraka?Kaka noise zote hizi issue ni bandari na sheria ya mpya ya kodi inayiyataka mashirika ya kidini.
Mashirika ya dini hususani Katoliki walikuwa wananufaika na msamaha wa kodi kupitisha vifaa bandarini. Kitu hicho kilifanya watu binafsi wawe wanaagiza vifaa kupitia mashirika ya dini baadae wanakuja kuuza. Lakini sheria mpya ya kodi na kanuni zake inawataka wafanye yafuatayo:
Barua ya maombi ya msamaha (kutoka kwa Mkuu wa shirika)
Barua ya utambulisho kutoka Mkuu wa Wilaya
Cheti cha Usajili cha shirika (ya kidini/uhisani)
Cheti cha TIN (namba ya mlipa kodi)
Hati za kibiashara za bidhaa zinazoagizwa (bili, orodha ya mizigo)
Mpango wa ununuzi wa kila mwaka wa shirika
Ripoti ya matumizi ya mwaka uliopita (ikiwepo)
Na baada ya TICS iliyokuwa chini ya Nazir Karamagi kuondolewa pale bandarini ndio ugomvi ukaanza.
Pitia document hii
Kisha soma sheria hii hapa ambayo ilitungwa 2019 na ndio ilimuondoa Magufuli
Wafanyabiashara wengi wakubwa Tanzania ni waislam haijalishi ana asili ya Asia ama laaah.Matajiri wakubwa zaidi Tanzania wana asili ya Asia, mikoa yenye uislamu sana Tanzania ina umasikini wa kutisha, ikiongozwa na Kigoma
Watu weusi hapa Africa bila kujali dini wala kabila wengi wao ni masikini tu. Acha kujifurahisha mzee
Nazir Karamagi ni mtandao wa Kikwete na TICTS iliidhinishwa kipindi cha Kikwete na Nazir Karamagi alisafiri na mihuri ya nchi kwenda kusign mgodi wa dhahabu wa Buzwagi huko hotelini ulaya.Kaka noise zote hizi issue ni bandari na sheria ya mpya ya kodi inayiyataka mashirika ya kidini.
Mashirika ya dini hususani Katoliki walikuwa wananufaika na msamaha wa kodi kupitisha vifaa bandarini. Kitu hicho kilifanya watu binafsi wawe wanaagiza vifaa kupitia mashirika ya dini baadae wanakuja kuuza. Lakini sheria mpya ya kodi na kanuni zake inawataka wafanye yafuatayo:
Barua ya maombi ya msamaha (kutoka kwa Mkuu wa shirika)
Barua ya utambulisho kutoka Mkuu wa Wilaya
Cheti cha Usajili cha shirika (ya kidini/uhisani)
Cheti cha TIN (namba ya mlipa kodi)
Hati za kibiashara za bidhaa zinazoagizwa (bili, orodha ya mizigo)
Mpango wa ununuzi wa kila mwaka wa shirika
Ripoti ya matumizi ya mwaka uliopita (ikiwepo)
Na baada ya TICS iliyokuwa chini ya Nazir Karamagi kuondolewa pale bandarini ndio ugomvi ukaanza.
Pitia document hii
Kisha soma sheria hii hapa ambayo ilitungwa 2019 na ndio ilimuondoa Magufuli
Mmh sawaWafanyabiashara wengi wakubwa Tanzania ni waislam haijalishi ana asili ya Asia ama laaah.
Nenda kariakoo kitovu cha Biashara, Biashara nyingi za Kati Na juu za waislam weusi ukiachilia mbali wenye asili ya ushombe.
Hiyo mikoa najua utataja Lindi,Mtwara,Tabora. Usisahau Shinyanga,Kigoma ni mikoa ya wakristo wengi.
Na udumavu wa maendeleo katika hiyo mikoa unachagizwa kwanza ni uwajibikaji hafifu wa serikali ndogo pili jamii zenyewe zinazoishi hapo pasi Na kujalisha dini.
Hakuna udini Tz, tumeoleana sana.Hatuna shida ya udini ndo maana watu wanamshamngaa huyo mhuni
Hapana ninachokiona ni wahuni wanatakatisha madaraka kupitia diniHakuna udini Tz, tumeoleana sana.
Tatizo naloliona Tz linaweza kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na hii vita ya multipolar world, japo kuwa kwa juju unaweza usiione.
Wakenya watadhani hii ni “Akili Unde” 😂😂😂
Kenya huwezi kupata fine ladies kama hawa 😂😂😂Wakenya watadhani hii ni “Akili Unde” 😂😂😂
View: https://x.com/bigeyeug/status/1935321602855739728?s=46
Hiyo ni kweli ila nachoongelea mimi, ni strategy siyo tactic.Hapana ninachokiona ni wahuni wanatakatisha madaraka kupitia dini
No wonder mtabaki kuwa LDC milele, are this what impresses you?Wakenya watadhani hii ni “Akili Unde” 😂😂😂
View: https://x.com/bigeyeug/status/1935321602855739728?s=46
Ukiwa g@y unadhani hizo vitu zita ku impress?No wonder mtabaki kuwa LDC milele, are this what impresses you?
Akili yako ni ndogo sana, now I know why I haven’t seen you any day participating in discussions of serious subjects.Ukiwa g@y unadhani hizo vitu zita ku impress?