NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,025
- 19,205
Una kichaa cha Mbuzi.90% ya chakula mnacho kula kinatoka Tanzania.
Kusema Tanzania ni takataka, ita attempt kama Wakenya ni watu wenye utimamu wa akili, imagine chakula chenu kinatoka jalalani! 🚮
Hao ni Wakenya wa Mombasa wanaojaribu kuiga Kiswahili cha Tanzania.
Tatizo hamtujui Watanzania,
1. 90% ya chakula Cha Kenya kinatoka tanzania? 😂😂
2. Mombasa waige kiswahili Cha Tanzania? Wewe unawajua Wamombasa kweli wee? 😂😂