Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha longolongo. umesema Nairobi imejengeka mahali pamoja tu alafu umeendelea kuposti picha za sehemu moja tu ya Dar ambazo sishapostiwa mara nyingi. Nimekuuliza Karen ipo katikati mwa jiji? Thika Greens ipo katikati mwa jiji? Loresho ipo katikati mwa jiji? Athi River ipo katikati mwa jiji? Nyie ndio mnaopost CBD, Kijitonyama, Kariakoo na Upanga ambazo zipo Kati kati mwa Dar es Salaam pekee. The only other place you post that's far from the CBD is Oyster Bay na haina majengo kama ya Estates za Nairobi kama Kileleshwa, Westlands, Spring Valley Hurlingham etc.
Nioneshe hizo picha walipozipost
Walikuwa wanapost kkoo na sio upanga
Nahis kuna jengo limekuchanganya kimuonekano
 
Upanga inafanana na wapi nai? ??mjibu tumalizane...kwanza kariakoo nairobi hamna yakulingana nayo

Upanga haifanani na kokote Nairobi juu Nairobi sii Dar na siwezi taka mahali popote Nairobi pafanane na Upanga. Hivi Upper hull inafanana na wapi Dar? Karen inafanana na wapi Dar?
 
Nioneshe hizo picha walipozipost
Walikuwa wanapost kkoo na sio upanga
Nahis kuna jengo limekuchanganya kimuonekano
Mwambie aache kupiga kelele. Sasa hivi tunaenda mtaa kwa mtaa. Ili wajue.
 
Nioneshe hizo picha walipozipost
Walikuwa wanapost kkoo na sio upanga
Nahis kuna jengo limekuchanganya kimuonekano
Picha za Upanga zimepostiwa humu kibao wacha ubwege. Ni wapi pengine mmepost kama sii Kariakoo, CBD, Kijitonyama, Upanga na Kigamboni bridge?
 
Picha za Upanga zimepostiwa humu kibao wacha ubwege. Ni wapi pengine mmepost kama sii Kariakoo, CBD, Kijitonyama, Upanga na Kigamboni bridge?
Subiri tukupatie dawa. Tunakupatia Msasani, Kawe, Mikocheni, Sinza, Ubungo, Mwenge, Mbezi, Kinondoni, Ilala nk. Tunaenda mtaa kwa mtaa. Wewe kaa mkao wa kula. Halafu acha kulia lia kama toto la mama.
 
c6821000f581d31aeff3f275fe0b45b5.jpg
 
Picha za Upanga zimepostiwa humu kibao wacha ubwege. Ni wapi pengine mmepost kama sii Kariakoo, CBD, Kijitonyama, Upanga na Kigamboni bridge?
Onesha kuwa jengo lile ndo lile
Otherwise ilikuwa ni arial view inayoonesha vijengo kwa juu sana kisi kwanmba ninaonekana kama vidogo
 
Acha utani kijana

Wewe unaona utani but you'll have to be a special type of stupid to compare Masaki with the likes of Gigiri, Muthaiga, Karen, Muthangari, Spring Valley, Runda, Ridgeways, New Muthaiga, Kitisuru, Jacaranda, Lavington etc. Google those names and see for yourself. Masaki can perhaps compare to Parklands which is just a middle class estate in Nairobi.
 
Unaongea sana. Wewe weka picha za maeneo hayo. Nadhani wewe unaijua Dar ya miaka ya 90s. Mambo yamebadilika sana wewe. Weka picha halafu na sisi tunaweka picha za masaki. Wacha maneno meeengi.
 
Onesha kuwa jengo lile ndo lile
Otherwise ilikuwa ni arial view inayoonesha vijengo kwa juu sana kisi kwanmba ninaonekana kama vidogo
Kama nilivyokwambia unapost picha za sehemu moja tu. sasa jengo moja moja hadi saa ngapi? Si wewe ndio umesema Dar imejengeka? Mbona usipost sehemu zingine.
 
hahahaaa....hii ndio masaki yenye mnasema hakuna yakufanannishwa nayo kenya
Hapo nimekupatia Sea Cliff Hotel pekee. Nilikuwa nakutaka utokeze toka shimoni. Ngoja sasa nakupa za uso.
 
Back
Top Bottom