Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upanga dsm
5214d72e40c3541474952177df388e19.jpg

2cc41dc78489e94b081b0b450737d1b6.jpg
 
8e829c75c88789957d027b90d1047e54.jpg

Siku nitaenda uku makumbusho
Dah! Ni pana sana
Uku nako ni emerging city
Construction in process
 
Wakenya mtaanza porojo kuwa hamna rami
Ni kwasabab haya majengo ya uku upanga ni ya juzjuz2 apa
Mengine apo bado yanaendelea kumaliziwa


Daaah! Hiyo sehemu kailinganishe na Nyali Mombasa, lakini hata hizo barabara zikawa mbaya kuliko za Nyali
Dar ina CBD to na hapo tosha, sijui Upanga, Sijui Kariokor, sio lolote, residential flats tu!

Nairobi tumewapa Business District nne,
1. CBD
nairobi_city_skyline-credit-1240x680.jpg

2. Upperhill
betfyfs7.jpg

3. Westlands
12568115_438052593060914_1950866929_n.jpg

4. Kilimani
Yaya-Centre-Kilimani.jpg

Nairobi tumewapa luxurious residential zones
1. Lovington
Lavington-780x438.jpg

2. Hurlinghum
1814-728.jpg

3. Karen
The-Karen-Blixen-Museum.jpg

4. Runda
215546301_f1006d7e1a_z.jpg

5. Muthaiga
getImage.php

6. Kileleshwa
kileleshwa-ring-road-Nairobi.jpg

7. Langata
4_bedroom_townhouse_for_sale_in_langata_1260131488402731079.jpg

8. Ridgeways
Ridgeways-Nairobi.jpg

9. Parklands
P1080017.jpg

10. Riverside
Riverside-Nairobi-780x557.jpg


And other regions
1. South C
2. South B
3. Embakasi
4. Pangani
5. Ngara
Just to name a few, left out over 20 sections
And many more till kitengela, Thika, Limuru, Ngong, Kiambu which are a in Nairobi metro

We have given even our worst
1. Kibera
2. Mukuru
3. Kawangware

Nairobi is just too big for yuo to comprehend, Nairobi is just way ahead of Dar and you don't need to argue.

On your part, you have given us the
1. CBD,
2. Upanga
3. Kariokor
and that is all, or prove me wrong
Then we have seen Tandale and the rest

So the game is officially over
 

Wewe umesema Kenya tunapost picha za sehemu moja tu na unataka utuonyeshe jinsi Dar ilivyo kubwa alafu umeanza kuposti picha za Upanga pekee. Hivi hakuna picha nzuri 10km from Dar CBD? Wakenya tumewawekea picha za Karen (13km from CBD), Greenpark (25km from CBD outside city limits) Mountain View (13km from CBD) Kahawa (15km from CBD), Thika Greens (50km from CBD - outside city limits), Lavington (9km from CBD ) Runda (20km from CBD) etc na bado mnasema eti Nairobi imejengeka sehemu moja ilhali Dar picha zote ziko just within 5km from CBD. Hivi kati ya Dar na Nairobi ni gani imejengeka sehemu moja?
 

Wewe umesema Kenya tunapost picha za sehemu moja tu na unataka utuonyeshe jinsi Dar ilivyo kubwa alafu umeanza kuposti picha za Upanga pekee. Hivi hakuna picha nzuri 10km from Dar CBD? Wakenya tumewawekea picha za Karen (13km from CBD), Greenpark (25km from CBD outside city limits) Mountain View (13km from CBD) Kahawa (15km from CBD), Thika Greens (50km from CBD), Lavington (9km from CBD ) Runda (10km from CBD) etc na bado mnasema eti Nairobi imejengeka sehemu moja ilhali Dar picha zote ziko just within 5km from CBD. Hivi kati ya Dar na Nairobi ni gani imejengeka sehemu moja?
 
Back
Top Bottom