TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Unagrow wakati mnazidi poteza walipa kodi au hiyo kodi walokuwa wanalipa hao nakumatti wataongezewa hao unaowataja hapo ????kuwaga na akili mnapoteza kodi hao wanavyofilisika usibishe asee utaonekana huna akili sasaNakumatt ikikufa NAIVAS na Tuskys inagrow ama inachukua space ya nakumatt ....hakuna ku shuka uchumi unaendelea kugrow
ngoja yenu ifike katikati mukuwe cash-strapped ndio mutajua hamujuiit is only in Kenya the price was highly inflated, to cover up, they did it faster faster[emoji1]
Morogoro ni kiungo muhimu Tz inakutanisha, Dodoma, Iringa, Dar na mikoa ya Tanga, Arusha kupitia Chalinze. Kuna viwanda vingi pale Moro bila kusahau mzinga.Wow! Bullet Train. From Dar to Morogoro.
tebu walalas munieleze kitu gani iko pale Morogoro cha maana....
A place with no strategic interest at all what-so-ever.
You can't compare Dar/Morogoro to Msa/Nairobi at all.
Total ni 19, with 14 cargototal ni ngapi?
Jiran roho inataka mtoka kwa wivu na hasiraaaaHere we go neighborscargo trains 14
Passenger train 15
bro naomba unitumie hio link plzHere we go neighborscargo trains 14
Passenger train 15
unauliza swali au jibu???bullet train?
Najua sababu gani nimemuulizaTotal ni 19, with 14 cargo
Here we go
cargo trains 14
Passenger train 15
dua la kuku halimpati mwewe kamwe pole brongoja yenu ifike katikati mukuwe cash-strapped ndio mutajua hamujui
swaliunauliza swali au jibu???
kuku na mwewe wamefikaje hapa?? skiza, hatuko hapa kwa mipasho brodua la kuku halimpati mwewe kamwe pole bro
Atajulia wapi ka kashindwa kujua kua moro ni junction muhimMorogoro ni kiungo muhimu Tz inakutanisha, Dodoma, Iringa, Dar na mikoa ya Tanga, Arusha kupitia Chalinze. Kuna viwanda vingi pale Moro bila kusahau mzinga.
google itakujibu vzr zaidiswali
tatizo lako unajisahau sana nilifkiri utafurahia kuona tanzania inafanya vzr kwenye sector mbali mbali kumbe ndio tunaombeana mabaya๐๐๐๐kuku na mwewe wamefikaje hapa?? skiza, hatuko hapa kwa mipasho bro
Corrections,14 cargo train.total ni 19total ni ngapi?
Safi. Shukrangoogle itakujibu vzr zaidi
wacha kujisahauCorrections,14 cargo train.total ni 19
kwa taarifa yako. Tanzania ni nchi maskini sana tena sana tena sana. kama hauamini... google 30most poorest nations in the world. so ubavu huo hamuna hata mutumie mchawi ganitatizo lako unajisahau sana nilifkiri utafurahia kuona tanzania inafanya vzr kwenye sector mbali mbali kumbe ndio tunaombeana mabaya๐๐๐๐