Ndugu hivi unajua unachosema kweli? Do you know what a bullet train is? Yani unaconfuse sgr na bullet train? Hata kule ulays ni nchi chache sana ambazo ziko na bullet trainNitafurahi sana kama next year utakuwepo kwenye ifunguzi rasmi wa bullet train Africa, kati ya Dar-Moro, hii ni fahari kwa Africa nzima, sio kwa Kenya na Tanzania pekee[emoji1] [emoji1]
Hata hapa duniani ni nchi chache sana among third world countries zinazoweza kulipia ujenzi wa reli ya umeme, at the same time kujenga mradi mkubwa wa umeme kwa gharama ya $2B from its pocket, it is only in TanzaniaNdugu hivi unajua unachosema kweli? Do you know what a bullet train is? Yani unaconfuse sgr na bullet train? Hata kule ulays ni nchi chache sana ambazo ziko na bullet train
Sasa mwisho wake ni upi?, madeni yanaongezeka, biashara zinapungua.Itaendelea kushuka,by 2022,itafikia $120 bln.
Hii ndiyo Tanzania bwana, watatulia tu.Bampa to bampa,bongo sio ya 90's
Kenya ina 5.4 bln reserve
Tanzania ina 5.9 bln reserve
Wacha kubadilisha topic. Nilikuuliza kama mnaita sgr yenu bullet train mbona unatapatapa? For your information, a bullet train cannot run on a standard gauge kama hiyo yenu na hata ya huku kwetu pia. The technology that goes into operating a bullet train is too sophisticated for Tanzania to afford. Hapo haujaongelea energy requirements ambayo hata ile mbayo mnaproduce kwa sasa bado haiwezi toshaHata hapa duniani ni nchi chache sana among third world countries zinazoweza kulipia ujenzi wa reli ya umeme, at the same time kujenga mradi mkubwa wa umeme kwa gharama ya $2B from its pocket, it is only in Tanzania
wewe umeona picha mbili tatu unasema umeona picha we vp ndio kwa mawazo yako unafkiri iringa ndio imeshia hapo????πππππNimeona picha ya Iringa hapo juu ndo maana nimekuambia haifikii Kisii kwa ujenzi na ukubwa. Mbona nimekubali kwamba iko na barabara pana kushinda kisii? Hiyo Iringa ni ndogo sana, pengine tuipatie Kakamega
hebu wewe tueleze more about bullet train????Wacha kubadilisha topic. Nilikuuliza kama mnaita sgr yenu bullet train mbona unatapatapa? For your information, a bullet train cannot run on a standard gauge kama hiyo yenu na hata ya huku kwetu pia. The technology that goes into operating a bullet train is too sophisticated for Tanzania to afford. Hapo haujaongelea energy requirements ambayo hata ile mbayo mnaproduce kwa sasa bado haiwezi tosha
Don't sugarcoat your sgr to mean something else ambayo hamuwezi afford
Lakini ukweli utabakia pale pale...Kisii ni kubwa kwa hiyo kijiji mnaita Iringa. Naamini wewe ushawahi pitia Kisii kutoka Migori so unajua ninachosemawewe umeona picha mbili tatu unasema umeona picha we vp ndio kwa mawazo yako unafkiri iringa ndio imeshia hapo????πππππ
iringa ni mji mkubwa ndugu kuliko kisii and kakamega
Ungekuwa unafikiria nje ya box kidogo tu, ungenielewa nilichotaka kukueleza, kwamba Tanzania is among very few cointries ambazo zinafanya yale yanayoonekana ni impossible, kuwa possible. Cool down, things are happenig here now.Wacha kubadilisha topic. Nilikuuliza kama mnaita sgr yenu bullet train mbona unatapatapa? For your information, a bullet train cannot run on a standard gauge kama hiyo yenu na hata ya huku kwetu pia. The technology that goes into operating a bullet train is too sophisticated for Tanzania to afford. Hapo haujaongelea energy requirements ambayo hata ile mbayo mnaproduce kwa sasa bado haiwezi tosha
Don't sugarcoat your sgr to mean something else ambayo hamuwezi afford
Kwa hivyo hata wewe unaamini kwamba mnachojenga hapo bongo ni bullet train? lol. Yani hizi siku zote mmeamini hivyo? Mungu wangu! Icho, hata kule ulaya, ni nchi chache tu amabazo ziko na bullet trains while almost all of them have electric trains. What you guys are building is an ELECTRIC TRAIN, not a bullet train. Don't confuse an electric train with a bullet train tafadhali. Mtaonekana wajinga sanahebu wewe tueleze more about bullet train????
kisii nimekaa sana tu narudia kukwambia kisii ni ndogo sana tena sana kwa iringa broLakini ukweli utabakia pale pale...Kisii ni kubwa kwa hiyo kijiji mnaita Iringa. Naamini wewe ushawahi pitia Kisii kutoka Migori so unajua ninachosema
Mbona unawauliza maswali magumu kiasi hiki?, uwezo wao ni mdogo sana hawa.hebu wewe tueleze more about bullet train????
tueleze wewe more about bullet trains???? usiogope swali jibu swaliKwa hivyo hata wewe unaamini kwamba mnachojenga hapo bongo ni bullet train? lol. Yani hizi siku zote mmeamini hivyo? Mungu wangu! Icho, hata kule ulaya, ni nchi chache tu amabazo ziko na bullet trains while almost all of them have electric trains. What you guys are building is an ELECTRIC TRAIN, not a bullet train. Don't confuse an electric train with a bullet train tafadhali. Mtaonekana wajinga sana
ndio maana nilitaka ajikaangeππππMbona unawauliza maswali magumu kiasi hiki?, uwezo wao ni mdogo sana hawa.
Ndugu ebu enda nyuma kidogo kwa comment yako ya awali mahali unataja mambo na bullet train. Naamini hapo utaelewa mahali hii argument ya bullet train imechipukia. What you are talking about here is just your counterargument after I questioned your comment on tanzania building a bullet train. I hope hapo utanielewaUngekuwa unafikiria nje ya box kidogo tu, ungenielewa nilichotaka kukueleza, kwamba Tanzania is among very few cointries ambazo zinafanya yale yanayoonekana ni impossible, kuwa possible. Cool down, things are happenig here now.
kwa ninavo fahamu mm bullet train ni high speed train na most of bullet train use electricity so hebu tueleze wewe ufahamu wakoNdugu ebu enda nyuma kidogo kwa comment yako ya awali mahali unataja mambo na bullet train. Naamini hapo utaelewa mahali hii argument ya bullet train imechipukia. What you are talking about here is just your counterargument after I questioned your comment on tanzania building a bullet train. I hope hapo utanielewa