Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanaita train ya 160km/hr bullet train [emoji2] [emoji2] ....alafu waone hapa juu vile wanajiona wajuaji.bongolala ni kama ugonjwa acha niende zangu kimya [emoji124] [emoji124]
 
Ni lazima tu useme hivyo. Hiyo Iringa haifikii Kisii hata robo. Hiyo hata kwa Kitale ni ndogo sana. Chenye nimeona hapo ni kuwa iko na barabara pana, kitu ambayo kisii haina. Lakini kwa ukubwa na ujenzi, Kisii inaizidi mbali sana
Hivi we unaijua iringa wewe? Hebu tazama iringa halisi
 
Maana halisi ya gari moshi is any train which produces smoke from engine. Hivi kwanini lakini katika karne hii ya sasa mliamua kujenga diesel engine train?, yaani sielewi hadi sasa.
wanajaribu kuipaka makeup jina kwa kutaka kulazimisha eti tuiite "buleti treni" badala ya gari moshi.[emoji23] [emoji23]

ile gari moshi tu period.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu wanaita train ya 160km/hr bullet train [emoji2] [emoji2] ....alafu waone hapa juu vile wanajiona wajuaji.bongolala ni kama ugonjwa acha niende zangu kimya [emoji124] [emoji124]
pungezeni hasira wasee wa gari moshi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu wanaita train ya 160km/hr bullet train [emoji2] [emoji2] ....alafu waone hapa juu vile wanajiona wajuaji.bongolala ni kama ugonjwa acha niende zangu kimya [emoji124] [emoji124]
naona unafungua mwaka vyema kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kusikia tanzania inajenga bullet train wewe ushapata kifafa tayari
 
naona unafungua mwaka vyema kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kusikia tanzania inajenga bullet train wewe ushapata kifafa tayari
Bullet train at top speed of 160km/hr??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Bullet train at top speed of 160km/hr??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
do u think 160 is top speed???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hio ndio speed wataanza nayo lakin itavuka zaidi ya hapo
 
Bullet train at top speed of 160km/hr??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Muhimu ni kwamba, Tanzania imewasogezea waafrica bullet trains, hamna sababu kwa waafrica kupoteza pesa nyingi kwenda Europe na Asia tena, karibuni sana Japan within Africa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…