Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is it not the media's job to amplify it, wewe ndio punguani.
Uwezo wako kiutambuzi ni mdogo.

Wewe ulisema, " Nyakundi is doing more work than the entire..." Ndiyo maana nikasema, kama ni hivyo, unafikiri hizo video anazitoa wapi?

Mimi hizo video nimeziona kwenye social media, kabla ya kuja hapa JF na kuiona kwako, sasa how could he be doing more work that those who on the ground, risking their lives being shot, to make those videos? You see my point?
 
Uwezo wako kiutambuzi ni mdogo.

Wewe umelisema, " Nyakundi doing more work than the entire..." Ndiyo maana nikasema, kama ni hivyo, unafikiri hizo video anazitoa wapi?

Mimi hizo video nimeziona kwenye social media, kabla ya kuja hapa JF na kuiona kwako, sasa how could he be doing more work that those who on the ground, risking their lives being shot, to make those video? You see my argument?
Nyakundi akona watu kwa ground, he is bigger than your mainstream media on reporting the protests.
 
68 pillars done n still U/C!
So nowadays length is measured by number of pillars. 🤣 🤣 🤣 68 pillars ni kidogo sana my friend. Hio haifiki hata 2 kms, Kenya kuna Nairobi expressway viaduct which is 11km long na bado SGR viaduct over Nairobi National Park which is 6.5km long. Sasa wewe na 68 pillars zako sijui unasema nini. 🤣 🤣 🤣
 
1761741260145.jpg
 
Back
Top Bottom