Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,626
Maku sgr phase 3 na 4 u/c,dar hapi brt phase 3 na 4 u/c,kuna pangani bridge,miradi kibao yenye tija kwa wananchi inaendelea na hamna kelele,nyie endeleeni na maghorofa yenuSiku hizi hamna comeback, KAZI ninkupost tu Kibera.
Yani mkenya anapost projects zinaandelea Mombasa lakini wewe baadala ujibu na za Tanzania, unapost Kibera. Ulilaaniwa na Kibera?😂😂