Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Turudi kwa Renders kidogo,ila najua hamuzi pendi kabisaa!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™ŒThe Diplomat 27floorsร—2๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘
 
Kama huoni difference ya hizo cities. Wew ni kichaa.

Ati least ukweli umeujua
 
That's the truth.

By the way, are you aware that Dar and Mombasa are categorised as Category B city alongside Kampala and Kigali. Nairobi is the only category A City in East Africa.
Category A in what ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwa akili yako Tanzania ina better standards of living than Brazil, Argentina, Russia. Morocco, Chile, Colombia, Vietnam, Iran, Philippines na Lebanon?
Brazil yenyewe ndio hii sasa lots of Favela (Kibera type)



Haya tell me tofauti na Mukuru kwa njenga iko wapi hapo? ๐Ÿ‘†
 
Kama huoni difference ya hizo cities. Wew ni kichaa.

Ati least ukweli umeujua
"Kama huoni difference ya hizo cities. Wew ni kichaa."

"Ati least ukweli umeujua."๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œhatujaanza na mishipa ishakutoka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...
 
Mradi wa Kilimanjaro International Conference Centre (KMICC), Tanzania

Serikali imesaini makubaliano ya ujenzi wa kituo kikubwa cha mikutano (MICE) Arusha, kitakaloweza kuhudumia watu ~5,000, pamoja na hoteli ya vyumba ~500.


Tanzania keeps growing ๐Ÿ’—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ