we are adding 4 large berths at Dar port and 2 extra long berths at Bagamoyo watch and learn how we revolutionize port business in EAWhy can't that efficiency translate to overall port performance? Mombasa port is doing triple of what Dar port is doing.
Umejisahaulisha hii mara hii?Why can't that efficiency translate to overall port performance? Mombasa port is doing triple of what Dar port is doing.
Nimeona ni reply kuliko kutoa thanks, maana kufanya hivyo najiona kama nabariki hiyo tabia ya hawa majizi ya mtandao.sasa hvi ni muda wa watu kula pesa tu
Halafu unakuta Wakenya mishipa imewatoka, wakiwatetea wezi wa rathilimali zao, eti nchi yao ni jangwa, sijui haina ardhi na madini. Kumbe familia chache zimehodhi ardhi yote nzuri. Tena wala hawaitumii kikamilifu.TZ tunachimba dhahabu tarime, ukanda huo huo uoande wa Mkenya, Migori kuna dhahabu, yaneachia wahuni wanachimba kihuni halafu yanalalamika.
Kenya ina madini kibao, mafita, siyo landlocked (ina bandari), ina game reserves (Amboseli, Masaai Mara, Tsavo, Naifobi National Park), lakininukitakuta yanabonga unaweza kufikiri yanatoka Botswana au Namibia ambako nchi nzima ni jangwa na landlocked.
Na wanasiasa wao wamesha yajulia.
Wanavyoizungumzia Kenya utafikiri ni nchi haina kitu, lakini watawala wao wanajitutumua.Halafu unakuta Wakenya mishipa imewatoka, wakiwatetea wezi wa rathilimali zao, eti nchi yao ni jangwa, sijui haina ardhi na madini. Kumbe familia chanche zimehodhi ardhi yote nzuri. Tena wala hawaitumii kikamilifu.
Mnaongeza kwa ndoto?we are adding 4 large berths at Dar port and 2 extra long berths at Bagamoyo watch and learn how we revolutionize port business in EA
Yet Mombasa still handles thrice of what Dar is Slum Port does.Umejisahaulisha hii mara hii?
Dar es Salaam port overtake Mombasa in new World Bank ranking
In recent years Dar port has staged stiff competition, threatening to pull most of the ships plying the East African waters into its harbour.www.thecitizen.co.tz
The question is, you with all those natural resources, how are you benefiting?Halafu unakuta Wakenya mishipa imewatoka, wakiwatetea wezi wa rathilimali zao, eti nchi yao ni jangwa, sijui haina ardhi na madini. Kumbe familia chanche zimehodhi ardhi yote nzuri. Tena wala hawaitumii kikamilifu.
What we have doesn't make economic sense. That's why even Tullow had to leave cause that oil is so negligible to make sense.Wanavyoizungumzia Kenya utafikiri ni nchi haina kitu, lakini watawala wao wanajitutumua.
Ila imejaa raslimali kibao, mali za wachache.
Ni kweli tulianza kuwa na mafisadi papa Tanzania kama kwenu, kuanzia kipindi cha rais Mkapa 1995. Ila tutawaondoa, tulijaribu kipindi cha Magufuli tukaweka sheria ya permanent sovereignty and natural resources. Hii sheria tuu ilileta $$ milionea wengi Tanzania.The question is, you with all those natural resources, how are you benefiting?
Tanzanians should be the last people to talk on how natural resources help countries juu haiwasaidii hata kidogo. Pesa zote huwa zinaenda Europe, America and the few remaining are eaten by politicians.
What we have doesn't make economic sense. That's why even Tullow had to leave cause that oil is so negligible to make sense.
Tanzania on the other hand has those minerals in quantities but all the proceeds are only eaten by politicians and white people. Mwisho WA siku mnaanza kulaumu wakenya😂😂
Are you aware that all this paragraph is nonsense? Kukaliaa koo ndio nini when all the revenue is going to Europe and the few remaining is eaten by few politicians?Ni kweli tulianza kuwa na mafisadi papa Tanzania kama kwenu, kuanzia kipindi cha rais Mkapa 1995. Ila tutawaondoa, tulijaribu kipindi cha Magufuli tukaweka sheria ya permanent sovereignty and natural resources. Hii sheria tuu ilileta $$ milionea wengi Tanazania.
Mafisadi wakamuua Magufuli, utaona angalau tunavyowakalia kooni mafisadi wetu, siyo nyinyi mnawatetea, mnajifanya kuandamania lakini hakuna impact yoyote ya maana.
Hata huna aibu kutuonyesha discovery of gold of less than $1M. Ama wewe kwa akili yako unadhani Ksh 79M ni pesa ngapi?Kenyans are very dumb and stupid.
View attachment 3482450View attachment 3482451View attachment 3482452
Yes it is. Dar streets getting sanitized 🤣🤣🤣Hayo ni mavi yanamwagika barabarani hivo. 🤣 🤣
It's not about going to Europe; most beneficiaries are locals who create shell companies overseas to conceal their identitiesAre you aware that all this paragraph is nonsense? Kukaliaa koo ndio nini when all the revenue is going to Europe and the few remaining is eaten by few politicians?
Wewe endelea kujidanganya hivyo hivyo.Alafu hakuna millionaires wengi mko nayo, Nairobi alone has thrice the number of millionaires you have your entire country.
😂😂😂Halafu unakuta Wakenya mishipa imewatoka, wakiwatetea wezi wa rathilimali zao, eti nchi yao ni jangwa, sijui haina ardhi na madini. Kumbe familia chache zimehodhi ardhi yote nzuri. Tena wala hawaitumii kikamilifu.
These are the few I'm talking about. These shell companies are actually are owned by corrupt politicians and their networks. They are using proxies to hide their identities.beneficiaries are locals who create shell companies
Unajua kuhesabu kweli? Or you are just dunderhead like the famous scammer in this forum?Nusu ya tuzio za Tanzania