Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yap nakumbuka bansi sawa kabisa na kuna ile hotel inaitwa zamzam ya wasomali bado ipo maeneo ya stage?? aise siku nyingi sana, asante
Zamzam bado iko...walifungua hata supermarket last month going by the same name hapo kariby na stage. Ulikuja Migori lini? siku hizi imejengeka unaweza sahau
 
62k
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kabisa...phase 1 ni pesa ya ndani yote nashangaa kajedwali kemeandikwa 50%mkopo...
Muongo ni Muongo tu maneno kumi tisa uzushi
 
Zamzam bado iko...walifungua hata supermarket last month going by the same name hapo kariby na stage. Ulikuja Migori lini? siku hizi imejengeka unaweza sahau
nilipo kuja ilikua stage ishajengwa tayari i think 3 or 4 yrs ago alaf kisumu pia nimekaa zaidi ya mwezi
 
Wamefika kwenye Wi-Fi sasa ngoja msikie wanasema nini
Hahahaha
 
Tanzania has 1500km of paved roads,
1500 megawatts of electricity,
85%-90% Tanzanians have no access to power,
0km of SGR,
LDC(Least Developed Country)

Hahahaha
We acha uongo kwanza kutoka dar hadi bukoba tu km1553 na hiyo ni barabara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…