Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila kitu chenu kibaya lazima kiwe cha kitambo. Mbona tushazoea? You must find a way to make it look ancient, even if it isn't. The fact remains, that's Dar and those are shanties in your cbd. Mengine yote ni povu!
 
Na itashuka zaidi.
If you look at those statistics, Azam's subscribers in Kenya (before the drop) do not exceed 50,000 people. Lakini kelele tunapigiwa hapa! You'd think there are a million subscribers in Kenya
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti hampumziki how many projects tumepiga ambazo hamuwezi zifikia hata Robo.

Tuanze na

JNHPP

Ndio uturingie haka kakalavati seriously
Tunawaringia coz hamna kama hiyo Tanganyika nzima
 
Are you talking of congestion? You forget this is how 70% of Dar looks like. If this is not congestion, I don't know what is
 
Ligi ya kenya mipira tu haitoshi, mipira michache lkn hyo hyo michache unakuta puma, Adidas, nike yote himo. Ilimradi vurugu tu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Ligi imeanza ila wachezaji bado wanavaa jezi za msimu uliopita. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
If you look at those statistics, Azam's subscribers in Kenya (before the drop) do not exceed 50,000 people. Lakini kelele tunapigiwa hapa! You'd think there are a million subscribers in Kenya
Mm binafsi nakesha mitandaoni nikuiponda ligi yenu na kuwaambia Azam waachane na ligi jua kali hiyo cz watapata hasara, so mnapoongea hivi mm huwa nafurahi sn mnanipunguzia kazi, and FYI Azam anaondoka huko soon, atabaki kuwauzia decoders lkn udhamini atapiga chini, ligi yenu haina mvuto. Juzi kuna mechi nilicheka sanaa, ligi inachezwa nje yn uwanja hauna majukwaa aisee 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hizo hadi Kigoma ipo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3478402
Nikiwaambia hakuna kitu kipo kenya kikakosa kuwepo Tz wananichukia, haya ona sasa mradi wanaoringia upo kwao mjini sisi upo mpk kigoma 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…