Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa Forex Scammer. We all know how Scammers behave and clearly portray the traits of a scammer.

Last time uliniuliza bank details zangu hili uniscam nikakataa, siku hizi unakuanga na machungu Sana na Mimi.
From scammer maskini to Forex scammer, i know how to do Forex trading Ila siko interested nayo.
Una characters zote za mtu masikini na fukara.
Mtu akikuzidi pesa unamuita scammer! 😂😂😂
Kubrag pesa sio tabia yangu kwa sababu najua kutafuta pesa, im hardworking ila ikibidi nabragi kwa watu sampuli yako. 😂😂😂
 
You are scammer and a poor scammer for that matter. Lazima Tu ubrag what you don't have to fool the stupid Tanzanians here.

By the way ikifika kwa pesa uniwezi hata kwa madawa. Kwa scamming Tu ndio utaniweza.
 
Nimechoka kuvumilia acha niulize tu. Kwani hii picha inamaanisha nini maana sijui origin yake😂😂😂View attachment 3476907
Hii picha halisi ya tiwages Teargass ,alijipost mwenyewe humu kuringishia hizo skating shoes,bwege ni machafu chafu so hapo ndio aliona kapendeza hadi kufikia kujipost humu
 
Yesterday I happened to pass through this road and a lot of Tanzanian beggars were arrested along this road. Wengi walikimbia wakaacha wheelchairs.
1000064900.jpg

1000064899.jpg
 
It's a screenshot bongolala, just like the previous ones that you posted here
View attachment 3476877
Hivi wewe unaakili kweli au una njaa? Sasa si ndo ujijibu, kama hiyo ni screenshot mbn husemi nimeiba kutoka seem fulani.
Uzuri wangu ni kwamba hoja zangu are not driven by emotions like most of you here. Dar has few opportunities compared to Nairobi. They say numbers don't lie. Between Dar and Nairobi which city has more dollar millionaires? We can use that as a basis of argument
Kitu cha kwanza kinacho determine opportunities ni upatikanaji wa ajira kwa raia, hebu niambie mji gn una high employment rate kati ya Dar na nairobi.
 
Uzuri huwa siongei sana na wala sina maneno mengi, nakugonga na kitu kizito halafu nakuacha ukilia siku nzima.
View attachment 3476910
Noma, yeye atakuja na karatasi za ku download mitandaoni akuambie amewekeza, kumbe anawekeza kwenye betting kama data zinavyosema asilimia kubwa ya vijana wa kenya wawekezaji wa kwenye sports betting.
 
Umezoea kuscreenshot mapicha za watu unadhani Sisi sote ni maskini kama wewe?
 
Back
Top Bottom