concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Issue ni hofu tu ingekuwa kanunua mtu kutoka usa hata kwa wizi wangekaaa kimyaaamtanzania yule yule alienunua bamburi sasa ananunua na hii πππ
View: https://x.com/shobanes/status/1968268424863498626?s=46
Kama vile nyinyi mnavoishi kwa denial kuwa ni maskini wa kutupwa na mnaishi kama nguruwe tuExactly. Living in denial and oppressing dissenting voices/people who openly come out to call out he government
Kwa Ruto huku! Meanwhile Polisi stations Tanzania!police station in singapore africa
View: https://x.com/bernardkavuli/status/1967984027765457207?s=46
Napenda jinsi mnavyojifariji watanganyika π€£π€£π€£Mostly ya hizo games ni kazi ya individual personels na hiyo ni sababu ya njaa kuwa Kali , ukija kwenye issue teams kwa michezo yote mko nyuma. Na usikute hata hiyo nauli yenyewe wamechangiwa na ndugu.
Hawa ni wehu tu, usasikia Charity Begin at home like Will Paul yuko wapi sasa?Hata hiyo kbc yenyewe haina resources za kuonesha hiyo league mpaka wategemee serikali iwaboost , hawana magari ambayo yanaweza Fanya live broadcasting hata sehemu zile sehem ambazo haziwez fikika. While Azam anauwezo wa kubroadcast hata mechi nne kwa wakati mmoja maana resources zipo .
Hawa ni maskini ambao Wana mdomo Azam akijitoa hakuna media itaweza hata kutoa hiyo 1.bil ksh ya media rights , Tena yeye ilikuwa mechi 4 tu kwa group
Napenda jinsi mnavyojifariji watanganyika π€£π€£π€£
Unasema michezo tuko nyumba wakati sisi ni taifa la pili duniani kwenye jedwali huko Tokyo kwa sasa!
Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya raga has been participating in World Series sijui mwaka wa ngapi Sasa na ishawahi shinda taji la dunia! Nyinyi mnajuwa hata rugby huchzwaje?
Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya taifa ya volleyball ya wanawake is the most successful team in the African continent! Do you even have a national volleyball team?
Tuko nyumba kimichezo wakati we've had world beaters in Swimming (Google Jason Dunford)
We've had world beaters in Javelin (again Google Julius Yego). He's a former world champion and currently ranks no. 5 in the world. He just stormed into finals in Tokyo. Do Tanzanians even know what javelin is?
Tuko nyuma kimichezo wakati our own Angela Okutoyi became the first East African to win a tennis Grand Slam championship. Do Tanzanians even know what a Grand Slam is?
And lastly, do you know Kenya is the most decorated African country in the Olympics?
Nyinyi shangilieni Yanga na Simba muache kutupigia kelele
Anaimbia clubs huko, fikiria bajeti tu ya singida united ndo bajeti ya league yao nzima?Hawa ni wehu tu, usasikia Charity Begin at home like Will Paul yuko wapi sasa?
Napenda jinsi mnavyojifariji watanganyika π€£π€£π€£
Unasema michezo tuko nyumba wakati sisi ni taifa la pili duniani kwenye jedwali huko Tokyo kwa sasa!
Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya raga has been participating in World Series sijui mwaka wa ngapi Sasa na ishawahi shinda taji la dunia! Nyinyi mnajuwa hata rugby huchzwaje?
Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya taifa ya volleyball ya wanawake is the most successful team in the African continent! Do you even have a national volleyball team?
Tuko nyumba kimichezo wakati we've had world beaters in Swimming (Google Jason Dunford)
We've had world beaters in Javelin (again Google Julius Yego). He's a former world champion and currently ranks no. 5 in the world. He just stormed into finals in Tokyo. Do Tanzanians even know what javelin is?
Tuko nyuma kimichezo wakati our own Angela Okutoyi became the first East African to win a tennis Grand Slam championship. Do Tanzanians even know what a Grand Slam is?
And lastly, do you know Kenya is the most decorated African country in the Olympics?
Nyinyi shangilieni Yanga na Simba muache kutupigia kelele
Charity begins at home halafu wanachemka ,wanataka kbc aoneshe mpira Bure wakati hata gari moja la kufanya live broadcasting hana,Hawa ni wehu tu, usasikia Charity Begin at home like Will Paul yuko wapi sasa?
Nyinyi mbona mnashindwa kishangilia hiyo gor mahia walau hata muweze kuwalipa hiyo ksh 300,000 .π€£π€£π€£π€£.Napenda jinsi mnavyojifariji watanganyika π€£π€£π€£
Unasema michezo tuko nyumba wakati sisi ni taifa la pili duniani kwenye jedwali huko Tokyo kwa sasa!
Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya raga has been participating in World Series sijui mwaka wa ngapi Sasa na ishawahi shinda taji la dunia! Nyinyi mnajuwa hata rugby huchzwaje?
Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya taifa ya volleyball ya wanawake is the most successful team in the African continent! Do you even have a national volleyball team?
Tuko nyumba kimichezo wakati we've had world beaters in Swimming (Google Jason Dunford)
We've had world beaters in Javelin (again Google Julius Yego). He's a former world champion and currently ranks no. 5 in the world. He just stormed into finals in Tokyo. Do Tanzanians even know what javelin is?
Tuko nyuma kimichezo wakati our own Angela Okutoyi became the first East African to win a tennis Grand Slam championship. Do Tanzanians even know what a Grand Slam is?
And lastly, do you know Kenya is the most decorated African country in the Olympics?
Nyinyi shangilieni Yanga na Simba muache kutupigia kelele
Masikini wa kutupwa ukanda huu wanajulikaKama vile nyinyi mnavoishi kwa denial kuwa ni maskini wa kutupwa na mnaishi kama nguruwe tu
Ila hao maskini hawafi njaaMasikini wa kutupwa ukanda huu wanajulika
View attachment 3474746
Ndio maana nikakuambia endeleeni kushangilia Yanga na Simba. That's the only sport you know. Mengine hamna habari nazo and we all saw it even during the just concluded CHAN tournamentNyinyi mbona mnashindwa kishangilia hiyo gor mahia walau hata muweze kuwalipa hiyo ksh 300,000 .π€£π€£π€£π€£.
Yaan eti mahindi wa premier league kupewa 15,000,000 yaan usd 116,000 watu wenye gdp kubwa Africa mnashindwa kutoa hata hiyo csr ya safaricom ya 250,000 usd.
Kweli nyinyi maskini sana
Hiyo kiingereza haujakielewa sawa how will I engage you on hat link you posted?Ila hao maskini hawafi njaa
Why did 73 Kenyan cult members starve to death?
Paul Mackenzie, the cult's leader, has been arrested twice previously after the deaths of children due to starvation.www.aljazeera.com