Today Kibera doesn't have 2.5 million people? Desperate times!๐คฃ๐คฃHadi hii 2025 Kibera inatajwa kuwa moja ya slums kubwa sana duniani.
Singapore ina slums kuliko nchi yoyote East Africa isipokuwa tu raia wake wana kamdomo sana ๐๐
The World's Largest Slums: Dharavi, Kibera, Khayelitsha & Neza | Habitat For Humanity
www.habitatforhumanity.org.uk
Wanasemaga wana middle class kubwa kuliko nchi zote East Africa.Kumbe they can't afford Azam Tv! ๐๐๐
Village life in Kenya is way worse than this
Kibera ina watu 700,000. Na hiyo ni slum moja tu ***** ๐๐Today Kibera doesn't have 2.5 million people? Desperate times!๐คฃ๐คฃ
Hao wamekwambia wana maisha magumu??๐คญ๐๐๐Nicxie , imagine hii ndio wanatuambia ndio nchi pekee in the whole of Africa yenye asali na maziwa ๐คญ๐...
View attachment 3474238View attachment 3474239View attachment 3474241View attachment 3474242
๐๐tofauti ya sisi na nyinyi nikuwa tunajua na tuna expose challenges zinazo face nchi yetu ili kupush serikali iwajibike, on the other hand nyinyi mko In denial mnaficha na hamkubali challenges mnazo pitia Kama nchi that's why hua mnapatwa na hasira nyingi sana mkiwa exposed. while sisi mki post mashida yetu hatustuki cause hizo habari ni sisi wenyewe tumezifuchua.Village life in Kenya is way worse than this
๐๐๐so mpwimbe, is kigamboni in and part of dar es salaam? Yes or no...Hii ni Kigamboni, mbali kabisa Kimbiji.
Kigamboni is almost equal in size with Nairobi county.
View attachment 3474122
Hii nzuri sana,binafsi nachukia sana kuonyesha ligi ya ukunyanMrudishieni Azam fedha zake plus damages! La sivyo another FIFA ban is on the cards!
Maku mbona watalii wenyewe atuwaoni kwenye picha zako?View attachment 3474166View attachment 3474167View attachment 3474168View attachment 3474169
๐๐๐๐KE...'wakenya wanatuonea uwivu kwenye utaliii wetu,inatakiwa tuwabane'. shut up!๐๐๐ซต
Toka mlipoanza kupush kitu gani kimebadilika,unga umeshuka bei?๐๐tofauti ya sisi na nyinyi nikuwa tunajua na tuna expose challenges zinazo face nchi yetu ili kupush serikali iwajibike, on the other hand nyinyi mko In denial mnaficha na hamkubali challenges mnazo pitia Kama nchi that's why hua mnapatwa na hasira nyingi sana mkiwa exposed. while sisi mki post mashida yetu hatustuki cause hizo habari ni sisi wenyewe tumezifuchua.