Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀭🀭ule mkimbizi wakimkamata ni hapa atalala while he waits to be deported back to yemenπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ...
 

πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ‘KE...'wakenya wanatuonea uwivu kwenye utaliii wetu,inatakiwa tuwabane'. shut up!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅
 
zile kelele za kwamba Rwanda ni trading partner wao zi wapi?
Wakatengeneza na coalition of willing. Ati Tanzania anawechelewesha na ni sleeping Giant na wako slow.


Trust me, Rwanda ataunganisha SGR yake Tz ni suala la Muda tu.
Ngoja Barabara ya Rusumo to Lusahunga iishe, ndo kabisa wataamia milele Tz.
 

😍'Kenya kuna masai mara pekee yake' shut up!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅
 

πŸ˜πŸ‘'nyie wakenya'😭😭😭🀣🫡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…