Mtawalipa sana toll wachina mpaka mfikie toll ya hewaWakati wachawi wanapeleka pesa China, wachina nao wanaleta pesa Kenya. $800M injected in Kilifi economy.
View: https://x.com/GovLeeKinyanjui/status/1967914548742025286?t=gY0dAPLSyN2_D7MCPLsdVw&s=19
Kwani siku hizi toll pia inalipwa so that manufacturing companies can be established? What's your level of education wewe kunguni.Mtawalipa sana toll wachina mpaka mfikie toll ya hewa
🤣 🤣 🤣 🤣 In summary.
Toka huko Kibera ulikojifungia. That's what Club that win makes. Hata mpewe miaka 30 hamna kitu. Don't forget sportpesa hela aliyowapa Ligi nzima 10yrs na same amount ameipa Yanga for 3yrs.In 5 years this league will be fire. Prize money imefika 20M, football nation imekwama kwa 32M.
View: https://x.com/husseinmoha/status/1967891021502489025?t=7eKIJPxWewGoQiaEIevTzg&s=19
usibabaike na make up za usoni wakati mwili mchafu hujaoga. Jenga misingi ya uchumi imara kwanza haya ya kupendezesha macho yatakuja yenyewe tuu. It is a gradual process you cannot jump a step for sustainability purposes.View attachment 3473434View attachment 3473435
Addis pamoja na nairobi wanaushamba mwingi😂😂😂😂👏👏I can go on and on, projects of this kindcurrently on going in both cities are in there dozens, hundreds more zimepanga line ,zitakua zina pop up hapa kama pop corn ones construction starts.👏👏
They slightly stole the design of Mzizima towerView attachment 3473434View attachment 3473435
Addis pamoja na nairobi wanaushamba mwingi😂😂😂😂👏👏I can go on and on, projects of this kindcurrently on going in both cities are in there dozens, hundreds more zimepanga line ,zitakua zina pop up hapa kama pop corn ones construction starts.👏👏
Naona umeenda kuomba msaada sasa😁View attachment 3473440View attachment 3473441View attachment 3473442
Kagame pamoja na watu wake wote niwa washamba sisi tuna invest kwenye agriculture 🤣😂😂😂👏
Hatuna ushamba wa magorofa sisi. Unatuchosha tu!!View attachment 3473336View attachment 3473337
😂😂😂renders. The Lido Gardens tower. Excavation already ongoing👏👍...
Huku Singida Big Stars huku JKT Queens Jirani no where to be seen 🤣🤣🤣
Jirani abakie na Marathon tuu huko ndiko anapopaweza.
huku kwetu mpaka PhDUkiwa na Masters unakuwa na qualifications za kuwa mhadhiri.
How old are you?Lugha ya huyo Demu wa Nairobi aisee!
Clear indication that you don't know what a lecture hall looks like. Leave this conversation for University Graduates.huku kwetu mpaka PhD
Sawa watchmanHatuuzi maji kwenye mkokoteni, hiyo ilikuwa zamani sn since I was child, Tanzania especially Dar hakuna shida ya maji, tulishatoka huko, wauza maji kwa mikokoteni walishatafuta kazi za kufanya, kuna mambo mengi yanaendelea huko kenya kwetu huku hakuna kabisa, ni ajabu kukuta mtu anauza maji mtaani kwa mkokoteni, labda mjini wanauza kwa mkokoteni na maji yenyewe ni yale ya chupa (Uhai, Masafi, Hill etc) msifosi tufanane.
And which country is not building her economic pillars if I may ask?usibabaike na make up za usoni wakati mwili mchafu hujaoga. Jenga misingi ya uchumi imara kwanza haya ya kupendezesha macho yatakuja yenyewe tuu. It is a gradual process you cannot jump a step for sustainability purposes.