Imagine what this will do to the real estate sector
"Wanakunywa maziwa nchi nzima" 🚮View attachment 3472774🤣🤣🤣sio sisi ndio tumesema.Ni Mzalendo mwenzenu huyo kasema🙌...
Hata South Africa ni choka choka pia.Dah!, sasa nani hapa mwenye political emotions?
Lobito Atlantic railway ni cape gauge.
Investment ya kubadilisha cape gauge kuwa standard gauge kwenye nchi za Sadc, pesa hiyo hakuna. Zimbabwe, Zambia na Botswana wote choka mbaya, ndiyo maana nikasema hizo ni empty promises, we ain't stupid.
I was extremely shocked kuwa atawezaje kwenda na hii ngoma mpaka chini, lol! 🚮imagine 2025 maji bado yanauzwa kwenye toroli ndani ya singapore😂😂😂
View: https://x.com/propesatv/status/1967614001883607545?s=46
Kusema ukweli ni Tanzania tuu ndo iko na potential kubwa SADC, tukiondoa hawa wahuni walioibaka Tanzania yetu, tutakimbia haraka sana.Hata South Africa ni choka choka pia.
Lesotho, Eswatini, Namibia ni viuchumi Mchicha.
Kusema ukweli ni Tanzania tuu ndo iko na potential SADC, tukiondoa hawa wahuni walioibaka Tanzania yetu.
Teargass njoo ujifunze "moment of a force" hapa, maana mwazoni hukuelewa naongea nini.imagine 2025 maji bado yanauzwa kwenye toroli ndani ya singapore😂😂😂
View: https://x.com/propesatv/status/1967614001883607545?s=46
Viongozi kama hawa ndo hufanya wazungu watuone waafrika wote wajinga. Wakipewa vihela vya uongozi wanaona wamefika, kumbe wanadharaulika, ndo maana wakarundikwa kwenye basi kama ng'ombe, wakati wa mazushi ya Eliza.Ramaphosani ni agent wa Wazungu mwenye mission mahususi ya kuiharibu ANC na amefanikiwa sana kuharibu nchi na kuiharibia ANC reputation yake.
Yap! They have to go, the easy way or the hard way.Tanzania tunaendelea vizuri hata chini ya uongozi longolongochini ya huyu bibi. All in all, hili genge la Kikwete soon lita exit.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1967643947251212518
Sikuzi sioni ukikemea utekaji kama enzi za jpm vipi ulilambishwa asali nini
Mimi mwenyew sijui baadhi ya watz wamekumbwa na nini?Halafu unakuta kuna watu wanamshabikia aendelee, wakati ni sisi pekee kwenye SADC ndiyo wenye SGR, like WTF?
Tunaendelea kuwa-prove kutangulia si kufika! Equity na KCB Banks zipo Tanzania over 20years na zinapitwa na NMB, a local Bank!hapo safaricom over 60% shares ni ya foreigners alaf MTN over 83% ni foreigners
View: https://x.com/uchumiforum/status/1967476251960226147?s=46
Quality tu ya images inakuprove wrongView attachment 3472943View attachment 3472944View attachment 3472945
🤣🤣🤣🤣😂🙌 naona New Yorkers kwenye pilka pilka zao ...okay Mungu nisamehe please😂 🙏 ...kwa kusema kweli nyani haoni kundule duh!🤣😂...