Ngoja sasa nikugeukie nataka kukuaibisha sasa. Maana nimekuvumilia unazidi kuleta ujinga ujinga hapa.Currently Mombasa hundles 30 million tonnes...tuliza haga 2020 it would be 40 million
hahahha chuma magufuli yani project kubwa zote tutazichukua angalia magufuli alivo mjanja kampa uganda njia tatu bandari tatu unasemaje hapo???😀😀😀Museveni gave u a pipeline as a consolation
Mpaka leo mnajinasibu na kidaraja hata uwanja wa mpira mrefu hahahahaha kweli mtakoma43 metres high bridge
leta official link 😀😀😀😀NakwAmbia millionaire wa dar ni same na.wa msa..nyie...nikujisumbua mnajisumbua
Ati Uganda inaitaka Tanzania. Well lets hear from Uganda government themselves what they say about mombasa route and dar es salaam route35 munabeba mzigo wa nani hahah rwanda ashawakimbia ethiopia sasa ana deal na djebouti, uganda anaitaka tanzania nyie bado munamlili na kumramba miguu😀😀
watu tunaekeza billions of money kufanya tanzania iwe mpya na bdo ndio kwanza tunaanza😀😀😀😀Kinyesi?
Unaelewa height na sio lengthMpaka leo mnajinasibu na kidaraja hata uwanja wa mpira mrefu hahahahaha kweli mtakoma
Unajua kitu kinaitwa REA ka hujui ka kimya usijiaibishe hapaa85%-90% ya Tz haina umeme hiyo ni sawa na Nchi ya Mauritania ambayo 3/4 ni jangwa na zaidi ni mojawapo wa LDC nations.
Unadhani Kenya inalalawatu tunaekeza billions of money kufanya tanzania iwe mpya na bdo ndio kwanza tunaanza😀😀😀😀
tanzania imempa uganda njia tatu na bandari tatuAti Uganda inaitaka Tanzania. Well lets hear from Uganda government themselves what they say about mombasa route and dar es salaam route
Hope unaelewa north corridor na central corridor...ata hauoni aibu kuarguetanzania imempa uganda njia tatu na bandari tatu
1] tanga musoma port to port bell
2] dar to mwanza port the port bell uganda
3] dar to kagera then uganda hahha
hapo unasemaje umeona vile watanzania wanaakili
google is ur friend tanzania of 2017 tena mtwara ndio usizungumze kabisa kuna viwanda vipo huko hakuna east and central africaHaha hamjielewi kabisa mnajenga railway na towers wakati hakuna lami sehemu za mtwara,mbeya etc
Shida yenu ndiyo hiyo, kukimbilia sifa za kujulikana Marekani wakati hata chakula hamna, mnalala kwenye mabanda kama nguruwe, ndiyo sababu wanaume wa Kenya mnaolewa kwa wingi huko Marekani kuliko wanawake wenu wanavyoolewa huko
Kenya's Paved roads 9,273 km.
Paved roads in Tz only 1,500 km.
Paved Road Good Condition = 1,026.27 Km z
Paved Road Fair Condtion = 283.37 Km z
Paved Road Poor Condition = 139.91 Km z
Paved Roads Total Kilometres in Tanzania Mainland = 1,449.55 Km
Bullet train ....iyo Kenya mtakuja kuipata 2999 ......
kwan bomba la mafuta ilikuaje hahaha simulianza hvo hvo tukachukua kiulaini na uganda hamutoki tunaichukua na nitakutafuta wewe kuhusu bagamoyo port na uganda piaHope unaelewa north corridor na central corridor...ata hauoni aibu kuargue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]