๐๐๐๐ tanzania imefika sehemu hatukutarajia kufika yani nchi ya democracy mtu anataka kupita kwa mabavu kuanzia kwenye chama chake mpaka kwenye nchi kwa ujumlaIla uzi umepoa sana naoma wengi hawajajua kuwa VPN ndiyo inatumika kuingia jf so sad
Mbona wanaocomment ni wale wale wa kila siku
Hahahahaaaaa, eti hizi ndiyo ndege za kuleta faida ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNdege za kunyaland zimechakaa. ๐๐๐
View attachment 3469628
Tatizo lako Bahati una hasira sn, eti Rais wenu haongelei Tanzania, alafu chakula cha bei nafuu atatoa wapi!!๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃIt is the other way round you fool. Huku ni vijana wadogo mtandaoni wanaoongelea Vumbistan. Huko kwenu Hadi Rais anatuongelea. Example, during mambo ya Boniface mwangi, your parliament spent a whole day discussing Kenya, your president talked about Kenya. Huku our parliament had no time for you. Our president said nothing about you.