Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Anashindana na Samia! Kisa kamuona anatembeles Gulfstream!πππππππ»ππ»ππ»
View: https://x.com/georgediano/status/1964901508862161350?s=46
Tofauti ni kwamba Samia anashangiliwa, Ruto anakuwa criticized. That's the difference between Kenyans and Vumbistanis.Anashindana na Samia! Kisa kamuona anatembeles Gulfstream!
Mbona sioni ukimkosoa Ruto au na wewe ni kundi la tutam?ππTofauti ni kwamba Samia anashangiliwa, Ruto anakuwa criticized. That's the difference between Kenyans and Vumbistanis.
Mgonjwa matapiko.
Mnapenda sana kuota π€£Talanta stadium itakua kama hii ya Morocco, no running track View attachment 3467588
Alafu iwe na sky rooms kama hii ya uwanja wa real Madrid View attachment 3467590
Cha ajabu Watanzania wengi humu walikosoa manunuzi ya hiyo ndege ila humu hatuoni hata mkunya mmoja akimkosoa Ruto.
Huwa hawakosoi chochote, aliyekuwa akikosoa ni Mkikuyu- Akili timamu na yeye wakaanza kusema ni Mtanzania.
Mbona ujiite magonjwa?
Tulipata shida sana miaka kumi iliyopita tulipogundua kumbe wanatembelea kichwa mambo mengi, Ukiwaambia Wabongo ulikua unaishia kupata kejeli. Sema Tekelinalokujia limwaanika matako juuu π hawana mbele wala nyuma. ( Enzi hizo SSC hawa mbwa walikua na sifa balaa)Kadri siku zinavyozidi kwenda watanzania wengi wanagundua Kenya ni certain Shithole nakumbuka miaka ya nyuma watanzania wengi walikua wanachukulia Kenya kama taifa moja sane mno, kumbe ni uozo uliofichwa kwenye fake data
Si jina mbona wewe unaitwa NairobiWalker na hata silalamikiπ?Mbona ujiite magonjwa?
Huyo ni Jaluo, wamenunuliwa na Ruto.