Unaonaje mtaenda playoff na nyinyi ndo wa mwisho kwa timu zote zinashikilia namba mbili?On our way to World Cup 2026.
Mechi ya playoff ndio Itaamua.
View: https://www.instagram.com/p/DOOw0CMCEjD/?igsh=MTJtcDN1dTRrc2xweA==
Nyang'au kama akina mwathadan wameanza kujitokeza mmoja mmoja kufuatia kichapo kitakatifu cha wagambia nyumbaniπUnaonaje mtaenda playoff na nyinyi ndo wa mwisho kwa timu zote zinashikilia namba mbili?
View attachment 3467080
Huoni match played (MP) Tanzania ni 6! πππUnaonaje mtaenda playoff na nyinyi ndo wa mwisho kwa timu zote zinashikilia namba mbili?
View attachment 3467080
PropagandaKadri siku zinavyozidi kwenda watanzania wengi wanagundua Kenya ni certain Shithole nakumbuka miaka ya nyuma watanzania wengi walikua wanachukulia Kenya kama taifa moja sane mno, kumbe ni uozo uliofichwa kwenye fake data
Jf imewaumbua sanaaaaaKadri siku zinavyozidi kwenda watanzania wengi wanagundua Kenya ni certain Shithole nakumbuka miaka ya nyuma watanzania wengi walikua wanachukulia Kenya kama taifa moja sane mno, kumbe ni uozo uliofichwa kwenye fake data
Hata tukitoka lkn utofauti wa uwezo na maendeleo ya soka umeonekana, tupo mbele yenu miaka 200. Nyie hata Burundi yupo juu yenu.Mtatoka tu kama kenya...tyari Morocco ashaqualify
Mwenyekiti,haya profesa wetu huyo ππππ»ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/p/DOLrCT7CtXr/?igsh=MXhhYjhxOTNwMWpmeA==
In their true colors!
Leteni picha basi..tunasikia maneno tuKwanini hawakuzingatia mitaro na pedestrian walkway kwa barabara hizo, Natumia sana Kimweri Road wengeweka ingekua poa.
Alafu Mkandarasi aliyefany kaweka lami poa sana na ni wandani ila hao wakipewa nje ya mji wanalipua why?
Magari ya hivi ndo yangekuwa yanasafirisha samaki wale wa ferry. Sio kwa kutumia bajaji na daladala kama sasajamaa kamwaga gari zaidi ya 50ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/p/DONGmAhCInu/?igsh=MjVhMDdvdWowMTV4
Wajenge sidewalks sasaWameanzia Namanga Macho hadi huko Chole mkeka mpyaaa kama wa Haile selassie
Kwa hiyo wew jamaa na CCM wako mnatumia VPN sasa?
hali ngumu sasa hvi kaka πππhii page haifunguki.
Ni nini?
so unaomba dua? πππMtatoka tu kama kenya...tyari Morocco ashaqualify
Lile soko pale hakuna namna walitoe tuu, zamani tulikuwa local, nowadays sisi ndiyo kioo cha maendeleo EA, so ni lazima tubadilike, yale maustaarabu ya pwani inabidi tuangalie jinsi ya ku modernize. Tunaweza tukalihamishia upande wa pili lile soko na tukatengeneza ustaarabu mzuri, hata pale kigamboni ile stand ni kama tupo miaka ya 70s aisee, eneo lipo pua na mdomo na CBD lkn linakaa kama gikomba? Alafu soko la samaki linakaa karibu na ikulu kweli? Harufu za samaki mtindo mmoja, hapana kwa kweli.Magari ya hivi ndo yangekuwa yanasafirisha samaki wale wa ferry. Sio kwa kutumia bajaji na daladala kama sasa
Au soko la samaki walitoe kabisa pale. Lipelekwe somewhere Kigamboni au Kunduchi kule
Jamaa kawafungua sn macho watz, kwa ss over 90% ya wananchi hawana imani na serikali iliyopo, yuko very smart na hapigi kelele kama kina mange na kina lissu, anawavua chupi zao taratiibuu kama jina lake π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£huyu jamaa anatema sana madini ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/reel/DOMkB0pDLKU/?igsh=MWZ3anI4cTE1eHB0dQ==
Hivi ni kweli sasa hivi JF ni lazima utumie VPN?Kwa hiyo wew jamaa na CCM wako mnatumia VPN sasa?
Naona na twitter mlifungia lakin post za serikali bado zipo.
Hiv mna matatizo gan?