babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,450
- 36,092
Nchi Zenye electrified SGR Sidhani Kama zinafika nchi tano.Kuna mtu sasa hivi anahangaika huko twitter kutafuta old news 'SGR IMEKWAMA' ili ajifariji.
Hivi nchi ngapi Africa zina electric ICE train kama sisi?
Una hasira za kinyang'au sijui kwa niniπOwned by Azam Aka mabwana zenu ππ
team bora inashinda kokote, mpira ni science sio blabla sajili wachezaji wenye quality ili muache kulalamikaπππHao ******* sana, si CAF walifanya figisu Simba isicheze Mkapa Final na watu 60k kisa mechi itakua ngumu, wakapeleka kwa 17k.
Washamba wakubwa
hawezi kua na majibu kwasababu amekaa kama kondoo vile πππAkikupatia majibu najiondoa jamii forum
kama inauma sema nichomoeπππOwned by Azam Aka mabwana zenu ππ
Huwa najiuliza hawa ******* kama wangekuwa na best and quality infrastructures like these vile wangesumbua humu!!!!!!!
Hapa uliruka, ukafanya kama unajikuna mwanangu πππππΉπΏπΉπΏπ₯π₯π₯π₯π₯Owned by Azam Aka mabwana zenu ππ
Naona maandalizi ya behewa za ghorofa yanaendelea pale mkata π€£π€£π€£Hapa uliruka, ukafanya kama unajikuna mwanangu πππππΉπΏπΉπΏπ₯π₯π₯π₯π₯View attachment 3465234
Kwani Tanzakundunians are Arabs ??Azam is a Tanzanian company. Au ni mkenya .? π€£π€£π€£
Naskia wanataka kuingia Mombasa GOK inawabania!
Kumbe Bakhresa ni mwarabu. π€£π€£π€£,ni raia wa taifa gani ?Kwani Tanzakundunians are Arabs ??
taarifa hio sijaisikia badoNaskia wanataka kuingia Mombasa GOK inawabania!