😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂That is quite nonsense matamshi.
As we speak deni la Zanzibar ni kubwa kuliko Mapato Yao.
Miradi yote inayoendelea huko ni mikopo na PPP.
Ndio kusema kwamba eti miaka 5 ijayo itluwa ni Kwa Ajili ya kulipa madeni au?
Nonsense kabisa 😂😂😂😂😂
Hakuna kitu mnaelewa zaidi ya ujinga kama ule wa mtungi wa gesi kuuzwa buku 2 huko Cuba.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nonsense kwako sisi tunamuelewa kua huyu ndio anaefaa kua rais wa jamhuri ya tanzania anasimamia maono yake anataka nchi igharamikiwe kwa kodi sio kukimbilia kukopa commercial loans alaf kesho unatafuta tozo mpaka kwenye miamala ya simu kurudisha madeni ya watu
labda nikurahisishie swali so far tanzania ina km ngap za lami ??😂😂😂😂😂😂
Kuqualify ni kucheza wee ng'ombe? Kwa hivo kwa akili yako Bongolala imecheza world cup? Tafuta daktari.🚮🚮Tumeshindwa kushinda hata game Moja then how do we qualify?
Can you qualify without winning games?
Are you having some cognitive issues mate?
Kama sio kucheza how comes your national team can't qualify to any important football tournament?Kuqualify ni kucheza wee ng'ombe? Kwa hivo kwa akili yako Bongolala imecheza world cup? Tafuta daktari.🚮🚮
Mbona unarukaruka? Umesema ati mmecheza world cup?Kama sio kucheza how comes your national team can't qualify to any important football tournament?
Yes our Girls walifika quarter finals WC U17.
Even beating some big teams like France.
View: https://youtu.be/XsD_uQ4eMEA?si=lB6-ZC7AvDbPxPLUSo far
Tanzania U17 qualified for AFCON
Tanzania U21 Men Qualified for AFCON
Tanzania Senior National team qualified for AFCON and there are good chances to qualify for WC
Senior National team women qualified for AFCON and WC
Meanwhile, None of your Kenya teams qualifies to anything unless you are hosting the tournament.
Sasa hapa ndio umeonyesha Nini. Mbona unajiweka kwa hatari ya kipigo..Mmeshaanza tena masiasa yenu.
Some streets of Dar es Salaam
Nyuma ya Silicon Dar.
Wanasemaga imezungukwa na slums.
View attachment 3463796
View attachment 3463797View attachment 3463798
Zanzibar ilifunga Kenya sio Tanzania. Tanzania= Tanganyika + Zanzibar, however Zanzibarians can represent Tanzania. Zanzibar is not equal to Tanzania in those tournamentsSasa kama Zanzibar is not part of taifa stars inakuwaje wazanzibar wanakuwa wachezaji wa taifa stars eg.
Feisal Salum?
Zanzibar is a semi-autonomous region of the United Republic of Tanzania.
In football, Zanzibar has its own national team, which plays in regional tournaments like CECAFA Cup and the Mapinduzi Cup. However, Zanzibar is not a member of FIFA, so it cannot play in World Cup or Africa Cup of Nations qualifiers.
The Taifa Stars is the official Tanzania national football team, recognized by CAF and FIFA.
Players born in Zanzibar (like Feisal Salum “Fei Toto”) are eligible to play for both Zanzibar (in non-FIFA competitions) and Taifa Stars (in FIFA/CAF competitions).
🤣🤣🤣🤣🤣
Tulicheza.Mbona unarukaruka? Umesema ati mmecheza world cup?
What does taifa stars comprise?Zanzibar ilifunga Kenya sio Tanzania. Tanzania= Tanganyika + Zanzibar, however Zanzibarians can represent Tanzania. Zanzibar is not equal to Tanzania in those tournaments
Tulicheza.
View attachment 3463878
Na Tumefuzu tena Futsal Women Word cup. (Tanzania women national team)
View attachment 3463877
View attachment 3463884
Tulifunga mainland Tanganyika tukapoteza kwa island Zanzibar. Both of them when combined make Taifa stars, so Tanzania didn't beat us 😂😂😂What does taifa stars comprise?
Kwahiyo Zanzibar sio Tanzania , nipe fifa ranking za zanzibar