Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You're talking to a country that has beaten you in 9 of the last 10 meetings you've had. Kichwa chako kiko sawa?
Tanzania qualified this stupid chan tournaments always, the previous tournament you didn't qualify because Tanzania eliminated you, remember?
This time you only qualified for the first time in history only because you are hosts.
 
Unadiriki kusema CAF champions League & Confederation cup ni small tournaments? Do you know why your poor small teams the likes of goal mahiya never survive beyond preliminary rounds in those tournaments?
 
1. First of all mlikuwa banned November 2021 ban ikatolewa November 2022.
Kwa mwaka 2021 na 2022 Kwenye FIFA rankings Tanzania tulikuwa tuaangukia kwenye 130, 131, 132... huku nyie mkiwa kwenye 102, 103, 104.....
Hamkumbuki mkitucheka kuwa mko banned lakini bado mmetupita points.
1.1 Tanzania inashiriki AFCON mwaka huu, points zitaongezeka pia,
Mpira sio janja janja.
2. Yes CHAN ni tournament ndogo kwa sababu inajumuisha wachazaji wa ndani tu na haina muamko mkubwa wala haipewi vipaumbele vikubwa na vyombo vikubwa vya habari, mfano Morocco Ile ni under 23 na kocha wao juzi alisema ni matumaini wale wachezaji siku moja watajumuishwa kwenye kikosi cha wakubwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Walipowafunga goli la ndondokela wakasema wameifunga Morocco πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanadhani haya matunda ya Mpira Tanzania kuanzia timu zote za Taifa Hadi vilabu tumepata bahati mbaya,
Hawajui tumeweka pesa nyingi, muda na expertise kubwa kiasi Gani.
Wanadhani tuna maneno matupu kama wao.
FIFA walitoa pesa kwa nchi za Afrika kwa ajili ya kujenga vituo vya michezo.
Tanzania tumejenga Kigamboni Dar es Salaam na Tanga.
Wao wamepewa pesa wamepiga na huwezi ona wakihoji.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://youtu.be/35eksvg5Fs0?si=KiolqraWRSfgrput
View: https://youtu.be/HCAQoEX0wDs?si=2agbU5fBfgO1zZwB
 
Hopeless Kijana wa Kibera , how will you even know when you were playing home games in Malawi due to lack of basic football infrastructure View attachment 3463013 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Humu tunabishana na kondoo wasio jua mpira.
Ukiwaambia juzi CHAN timu yao ilikuwa inabutua butua tu mpira hawakuelewi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…