Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
kaka naona umepita mlemle nilimopita mimi,hata mda tulio-post,wote tuli-post mda mmoja.

ni kama wazo moja lilikuwa linatembea kwenye vichwa vyetu wakati mmoja.what a beautiful coincidence is this....i like it.

si bure,lazima kutakuwa na spirit ya kimalaika yenye nguvu sana ambayo huwa inatuongoza wakati tunapo-argue na hawa wapinzani wetu wenye chuki ya kishetani na sisi hapa EA.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Kenya's Paved roads 9,273 km.

Paved roads in Tz only 1,500 km.

Paved Road Good Condition = 1,026.27 Km z
Paved Road Fair Condtion = 283.37 Km z
Paved Road Poor Condition = 139.91 Km z
Paved Roads Total Kilometres in Tanzania Mainland = 1,449.55 Km
 
You nail it to the head
 
I am still waiting for bagamoyo port construction videos and photos
Vitu haviibuki kama uyoga wewe. Vitu vinaenda kwa process
Bagamoyo Special Economic Zone ni G by G (Government by Government)
Oman Government and China Government in Collaboration with Tanzania Government
Tayari $10 Billion zimeshawekwa kwaajili ya mradi. Expected by 2020 project kuisha. So Subiri ujenzi unaanza by 2018.


Bagamoyo port project now revived
 
Ethiopia wako smart kuliko ninyi, gharama Za iyo railwayline yao nilistaajabu....tena ni ndefu kuliko yenu...Nyang'au atabaki kua Nyang'au
Ethiopia ni class 2 rail na ni mainly for passengers.. Kenya ni class one railway for passengers and cargo to Uganda,Rwanda,south sudan
 
Kenya's Paved roads 9,273 km.

Paved roads in Tz only 1,500 km.

Paved Road Good Condition = 1,026.27 Km z
Paved Road Fair Condtion = 283.37 Km z
Paved Road Poor Condition = 139.91 Km z
Paved Roads Total Kilometres in Tanzania Mainland = 1,449.55 Km
Hizo ni taarifa za uongo. Umezitoa wapi wewe hizo?

"The Tanzanian road network comprises 91,532 km of roads. 33,495 km of roads (12,197 km of national roads and 21,298 km of regional roads) are under the authority of the Tanzania National Roads Agency, while remaining network management is handed over to local authorities. 5,537 km of national roads are asphalted, compared with 847 km in the regional network."

Nakusihi tafuta taarifa za uhakika siyo hizo za uongo. Mpaka sasa hivi Paved road (Tanroads + TARURA) 12,000km+
 
Mbona ya Nairobi iko substandard, ni chafuchafu hivi
Hebu leta hiyo yenu ambayo ni standard na haina uchafu. leta hapa dunia ione. Na kama hakuna then usidharau za watu wakati wewe hauna na hata uwezo wa kuwa nayo pia haiko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…