Who is nairametrics, kuweni serious sometimesWakiweka Nchi inayopokea flights Nyingi ( Zanzibar na Dar zitafanya Tanzania iwe na flights 176 na kumfukuza Mkundustan hiyo namba aliyopo na kudidimia Chini hadi eneo linalofanana na Jina lake ๐
Si walisema hao mofat cjui nani nani watapewa route 1? Zen route nyingine wapewe wengine ili kupima performance? Iweje waanze kuchukua na route nyingine? Hapa kuna kitu hapa, mwishowe watachukua route zotee alafu yarudi yale yale.
Ila wamesomba watu wengi sn mitaani, huku kwetu watu wamepewa elfu 20 kila mmoja na usafiri juu wa kwenda na kurudi ili ionekane uwanja umejaa, CCM wana ajenda mby na nchi yetu na wamechoka vby sn, hawana jipya, wanatumia rasilimali za taifa kwa mambo ya kipuuzi kabisa. Mbinu zao za 90s bado wanazitumia mpk leo.KIBAIGWA IMEITIKA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS DKT. SAMIA
on August 31, 2025
Nyie watu watano hamtusumbui haya kidogo. Sisi tunasonga mbele nyie unganeni na wakenya kututukana na kutudhalilisha watanzania.
View attachment 3459787
View attachment 3459789
View attachment 3459790
Vichaka vinazidi kufyekwa na kufanyiwa fumigation ๐๐๐ Hawa wapumbavu bila kufake data hawana tofauti na Malawi ๐๐Wakiweka Nchi inayopokea flights Nyingi ( Zanzibar na Dar zitafanya Tanzania iwe na flights 176 na kumfukuza Mkundustan hiyo namba aliyopo na kudidimia Chini hadi eneo linalofanana na Jina lake ๐
Mofat route ya Mbagala. Kampuni ya Arabuni ni Kimara.Si walisema hao mofat cjui nani nani watapewa route 1? Zen route nyingine wapewe wengine ili kupima performance? Iweje waanze kuchukua na route nyingine? Hapa kuna kitu hapa, mwishowe watachukua route zotee alafu yarudi yale yale.
Kuna international flights zipi zinatumia Cessnas we gimbi?Your major airports also accommodate small aircraft such as Cessnas. That is why, in terms of aircraft movements, you may appear to be performing well; yet by passenger volumes, you are no different from Entebbe. Quite the achievement, you brilliant simpleton.
Watu wana ujinga, ubishani wa kijinga na utoto ni kama hawawezi ku ignore mtu. ๐๐๐Kampeni zikiisha nitarudi, watu wanaharibu huu uzi kwa maslahi binafsi. Kwaherini ๐
Na Bado ni connecting airport. Kenya airways inalazimisha kutua hapo ili watu wapande ndege nyingine.Kwahio JKIA na kelele zoote imeizidi Zanzibar flights 16 tu?
Usiondoke mkuu, wee za kampeni Usiangalie Msaidie mwenyekiti kubana zile Pulizo za Kaskazini ๐Kampeni zikiisha nitarudi, watu wanaharibu huu uzi kwa maslahi binafsi. Kwaherini ๐
Hata sisi ATCL has to raise its game. Ikipata international routes nyingi eventually JNIA itakuwa hub(connecting international traveller's from different countrues). Hii ina determine number of pax airport inahudumia. Inafanyika sasa hivi ingawa sio kwa kiwango cha Bole au JKIA.Na Bado ni connecting airport. Kenya airways inalazimisha kutua hapo ili watu wapande ndege nyingine.
Same as Ethiopia's Bole
Airport za Tanzania ni za watu wanaokuja Tanzania sio kuconnect. Flights.
Kuna something kuhusu tourists arrivals. Kenya have to provide real data
Tanzania ina model tofauti na Wakundustan.Bado Kunyaland ina guts za kufikiri inaweza kupambana na Tanzania kwenye tourism, they can't in all fronts apart from data cooking
View: https://youtu.be/GbaoyAOfMmI?si=BLwWU_ARIj5JnTKQ
Tayari ATCL imeanza kukusanya Congo, Zambia, Burundi, Kigali na NAirobi Kwa Direct flights to China and India๐ tuwape muda kidogo.Hata sisi ATCL has to raise its game. Ikipata international routes nyingi eventually JNIA itakuwa hub(connecting international traveller's from different countrues). Hii ina determine number of pax airport inahudumia. Inafanyika sasa hivi ingawa sio kwa kiwango cha Bole au JKIA.
Yes. Wengi wanakuja kwa trip za China na India. Wameanza Lagos-Dar hii pia itaongeza wanaokwenda China na India. ATCL ina ndege mpya na bei nafuu ndio silaha yake.Tayari ATCL imeanza kukusanya Congo, Zambia, Burundi, Kigali na NAirobi Kwa Direct flights to China and India๐ tuwape muda kidogo.
Majority of their flights are just between the two airports, Zanzibar and JNIA and most are small aircrafts. 7 out of 10 destinations at JNIA are domestic flights.Your major airports also accommodate small aircraft such as Cessnas. That is why, in terms of aircraft movements, you may appear to be performing well; yet by passenger volumes, you are no different from Entebbe. Quite the achievement, you brilliant simpleton.
Umeeleweka MkuuWatu wenye hizo issue hawazidi watatu. Weka ignore list wote. Mpwimbe unapoteza nguvu zako bure,unapigia mbuzi gitaa.