President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,606
- 94,187
Kaka nakuheshimu sana sana sana. Nakuomba tuachane na hii topic. Sijui kama upo na ethics za kazi.kumhujumu au kuongea ukweli machafu yalioko nyuma ya pazia ? iko shida imejificha mzee
Sisi humu tuwatu wazima wamegoma sasa wanawachukua watoto wadogo kwenye kampeni za kisiasaππππ»
haya sisi tupo
View: https://www.instagram.com/p/DN_ZILzkuSz/?igsh=NzBjaGFuYXF0djFm
watu wazima wamegoma sasa wanawachukua watoto wadogo kwenye kampeni za kisiasaππππ»
haya sisi tupo
View: https://www.instagram.com/p/DN_ZILzkuSz/?igsh=NzBjaGFuYXF0djFm
kwa hili hapana mzeee ππ»ππ»ππ»ππ»
Diamond ni Mwana CCM - Mtachonga sana. Mlitegemea Tanzania itakwama Mnajifanya watanzania huku mnatudhaliisha.watu wazima wamegoma sasa wanawachukua watoto wadogo kwenye kampeni za kisiasaππππ»
haya sisi tupo
View: https://www.instagram.com/p/DN_ZILzkuSz/?igsh=NzBjaGFuYXF0djFm
kama ni chaguo la wengi mbona waliogopa kumpigia kura kwnye mkutano wa CCM, kikwete akaikwepa suala la kupiga kura unafkiri kikwete mjingaπππ alishajua kua wanamng'oa asbh mapema sanaKIBAIGWA IMEITIKA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS DKT. SAMIA
on August 31, 2025
Nyie watu watano hamtusumbui haya kidogo. Sisi tunasonga mbele nyie unganeni na wakenya kututukana na kutudhalilisha watanzania.
View attachment 3459787
View attachment 3459789
View attachment 3459790
Mtatafuta uongo wa kila aina. Kwikwikwikwi sasa hivi mmeshindwa kupambana na Tanzania mmeanza kupambana na CCM pole yenu.kwa hili hapana mzeee ππ»ππ»ππ»ππ»
watoto washule hawa hapana hata kama wakubwa wamegoma huwez kusomba watoto wa shule ukawaingiza kwenye makundi ya siasa BIG NO
View: https://www.instagram.com/p/DN_ZILzkuSz/?igsh=NzBjaGFuYXF0djFm
Mwamba huyu hapa. Kiboko ya January, Ummy na Polepole. Wote wametepeta Kwikwikwikwikwi Sisi tupo na Tanzania nyie mpo na Mabeberu. Njama zenu zote zime fail. Kutumia wakenya kumtukana mnlidhani tutakwamakama ni chaguo la wengi mbona waliogopa kumpigia kura kwnye mkutano wa CCM, kikwete akaikwepa suala la kupiga kura unafkiri kikwete mjingaπππ alishajua kua wanamng'oa asbh mapema sana
Zuchu ni mwana CCMwanamshobokea zuchu kuliko rais waoπ
View: https://www.instagram.com/reel/DN-2RIaiDvk/?igsh=MWhqM2FzZGcxcW15MQ==
Mwamba huyu hapa anawakondesha wazembe na wasiolitakia mema Taifa letu. Unaumia sana kuona nchi inaongozwa na mwanamke. Nyie wahafidhina mnashida sana Kwikwikwikwikwi Taifa lipo salamakama ni chaguo la wengi mbona waliogopa kumpigia kura kwnye mkutano wa CCM, kikwete akaikwepa suala la kupiga kura unafkiri kikwete mjingaπππ alishajua kua wanamng'oa asbh mapema sana
wakulazimishwa πππ wanakusanywa wasanii wote kwa kulaImishwa na kupewa pesa ww unafkiri haya mambo ni mageni kwa watanzania mzeeZuchu ni mwana CCM
Hadi aibu aiseeNa mkewe akaja kuleta muswada wa ******* sana pale bungeni.
Eti wenza wa viongozi wastaafu nao walipwe mafao ya kustaafia ya uongozi.
Hivi ana akili timamu huyooo!?
Iwe kulazimishwa au kwa hiari CCM lazima isonge mbele. Lissu yupo jera na maisha yanaendelea. Mama yake ni Mwanakwaya wa TOT ya CCMwakulazimishwa πππ wanakusanywa wasanii wote kwa kulaImishwa na kupewa pesa ww unafkiri haya mambo ni mageni kwa watanzania mzee