President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Go check social media, International TV, Or ask anyone will tell you the truth. Hata wewe nafsi yako inakushihudia. But mahaba ya nchi yako yamekupofusha usione ukweli.Who is that everyone?
Aboud Jumbe aliuliwa???Sitaki tuanze kuongea mambo ya kiundani zaidi. Huenda mwenzetu mambo haya umeyajua juzi tu. Huwezi ukashindana na Taasisi ya Urais ukabaki salama. Mtu mwingine muulize Aboud Jumbe.
Soma historia yake
Bongolala, didn't I tell you that hosting countries had nothing to do with CHAN matches organization? Maandalizi yote ya CHAN including opening and closing ceremonies yalifanywa na CAF. It is them who decided which venues will host which matches and in which manner. Ni nini huelewi hapo? Ama ni ujinga tu zenu za kawaida ya kuleta ubishi kwa kila kitu?Campare this with your poor preparation
Opening Ceremony
View: https://www.instagram.com/reel/DM3DuLLswP8/
Ule Muswada ni HARAMU. Sijui kama ulipita ai vipi ila unakiuka Sheria na katiba, maana Mke wa Rais siyo kazi ya utumishi unaotambulika.Na mkewe akaja kuleta muswada wa ******* sana pale bungeni.
Eti wenza wa viongozi wastaafu nao walipwe mafao ya kustaafia ya uongozi.
Hivi ana akili timamu huyooo!?
Soma sheria ya Usalama wa Taifa. Acha kuwa mzembe na kutukana ovyo.Na mkewe akaja kuleta muswada wa ******* sana pale bungeni.
Eti wenza wa viongozi wastaafu nao walipwe mafao ya kustaafia ya uongozi.
Hivi ana akili timamu huyooo!?
Can you prove these claims now that you know where the evidence is?Go check social media, International TV, Or ask anyone will tell you the truth. Hata wewe nafsi yako inakushihudia. But mahaba ya nchi yako yamekupofusha usione ukweli.
Hivyo ndio your inferiority complex imekuambia. 🤣 🤣 🤣Maku acha uzwazwa,ulileta ile habari kwa ushamba wako kutuzodoa humu,baada ya kuona kishawahi kutembelea TZ ndio ukabadilisha gear angani maku ww,iwapo ungejua before wala usingeleta humu ile habari bwege ww,kaokote makopo uko fala
Utake usitake huo ndio ukweli.Wewe ni kibaraka wa wazungu. Damu zilizomwagwa za dugu zetu kupamabana dhidi ya unyonyaji wa kikoloni leo hii unawatukana waafrika. Huenda wewe siyo mwafrika.
Umeniudhi sana kwa kutuna waafrika.
Mie sijali hilo mzee.Soma sheria ya Usalama wa Taifa. Acha kuwa mzembe na kutukana ovyo.
Sheria ya usalama wa Taifa imeweka wazi familia za viongozi wa juu Baba, Mama na Watoto zinalindwa hata wanapokuwa wamestaafu uongozi.
Kitu kinachowasumbua ni kuongozwa emotions badala ya kuongozwa intelligence
Kwani kiongozi yupi ameuliwa? Mbona upo na uchungu hivyo? Damu inatumwagikia sisi kaka. Funguka.Aboud Jumbe aliuliwa???
Kuna ujinga unafanyika wala hauna uhalali wowote.
Kubali hizo dhambi, ishi nazo. Ua na wewe UTAKUFA.
Hakuna maslahi ya umma hapo.
Sometimes ,nafimiri labda ni masharti ya waganga. Wala usisingizie WaTZ kwenye damu za watu wasio na hatia.
Nimekutumia picha hapo. Zote hizo everyone says this was beyond normalCan you prove these claims now that you know where the evidence is?
Kuna tetesi kuwa unaweza kupitishwa maana wabunge wengi wa CCM waliuunga mkono. Na ungelisikiliza hizo sababu walizotoa aisee ni za kikunyakisi kama walivyo wao.Ule Muswada ni HARAMU. Sijui kama ulipita ai vipi ila unakiuka Sheria na katiba, maana Mke wa Rais siyo kazi ya utumishi unaotambulika.
Kaka wamefanya nini? Ummy kukatwa ndio imekuwa nongwa? Je, yeye ni wa kwanza kukatwa?Mie sijali hilo mzee.
Kisa sheria ndio imewapa Kinga ndio wafanye wanavyotaka!?
We endelea kuwatetea utakavyo.
Ndio maana. Nilikuwa najiuliza tatizo ni nini. Kumbe huna akili. PoleUtake usitake huo ndio ukweli.
waAfrika hatuna akili tunaendekeza uchu wa madaraka na ufisadi na ubinafsi.
Kama hivi vitu visingekuwepo Afrika ilikua iendelee kuliko sasa.
Siku zote ukweli unauma.
Ukishazoea damu za watu, huwezi kuacha.Kwani kiongozi yupi ameuliwa? Mbona upo na uchungu hivyo? Damu inatumwagikia sisi kaka. Funguka.
Abdu Jumbe alikuwa Rais wa Zanzibar, Vilevile nakuongezea Taarifa za Horace Kolimba, soma ujifunze
Kaka. Hapa unapiga siasa tu. Wewe siyo wa kwanza kuongea haya. Lakini maisha yanasonga mbele. Na oktoba tunatiki. KwikwikwikwikwiKuna tetesi kuwa unaweza kupitishwa maana wabunge wengi wa CCM waliuunga mkono. Na ungelisikiliza hizo sababu walizotoa aisee ni za kikunyakisi kama walivyo wao.
Ni ulafi uliopitiliza tu unawasumbua.
Hakuna utawala duniani usioua. Hili somo gumu unatakiwa ulipokee.Ukishazoea damu za watu, huwezi kuacha.
Kwanza unawashangaa wasioua kwasababu ya pesa na madaraka.
Na hao wanaoua hawana hata hata 30 mbele
Mimi sina hasira na Oddo kukatwa na wala sina hasira na wewe ndugu, Sina muda wa kuwa na hasira ni my insatiable curiosity to learn tu, that's all. Just like any other institution, presidential institution may happen to be led by an incompetent president. Kusema flani hatoshi sio hujuma. There is nothing wrong being factually honest.Brother hasira zako kwa ummy kukatwa usinihamishie mimi. Presidency is an Institution Siyo mtu mmoja. Ni Taasisi iliyokamilika. Huwezi ukaihujumu Taasisi hiyo ukabaki salama. Only stupid anaweza akavimba.
Na wenyewe huwa WANAKUFAHakuna utawala duniani usioua. Hili somo gumu unatakiwa ulipokee.
Ummy alikuwa mbunge na akateuliwa kuwa waziri. Hana moral authority ya kusema maneno aliyotasema. Lengo lake lilikuwa wazi ni kuhujumu uongozi.Mimi sina hasira na Oddo kukatwa na wala sina hasira na wewe ndugu, Sina muda wa kuwa na hasira ni my insatiable curiosity to learn tu, that's all. Just like any other institution, presidential institution may happen to be led by an incompetent president. Kusema flani hatoshi sio hujuma. There is nothing wrong being factually honest.