President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Kaka kila mtu yupo na uhuru wake. Usinilazimishe niamini siasa zako kaka. Wewe endelea kueneza siasa zako hizo huwezi kukosa wafuasi.Watu kama nyie huwa ni hatari sana.
Kwa akili hizi, sidhani kama TZ ina miaka 50 mbele.
Nigeria in the making.
Mkuu embu uwache bange sometimes.Kaka kikundi kipi kimeitawala Tanzania na watoto wao?
Wabunge wa Tanzania ni 272. Hebu taja watu kama 20 tu waliopota ubunge wa CCM kuwa ni watoto wa hicho kikundi
Ni kweliJubaland si eneo la Somalia lililojitenga?
Brother, Kikwete Family yani Salma na Ridhiwan ndio uite Kikwete Family.Mkuu embu uwache bange sometimes.
Tizama Kikwete na familia yake wanavyofanya succession ya uongozi.
Mbona mifano ipo wazi!?
Afcon final itahostiwa kenya, hio hata haihitaji akili nyingiView attachment 3458877
Petty issues. Alimsema mama watu wakamrekodi. Behind the scenes watu wanaongea ya moyoni,ya ukweli.Venus Star, hivi Ummy ilikuwaje wakamkata, japo kuwa aliongoza kwenye kura za maoni?
Unafananishaje ya Makongoro Nyerere na Kikwete!?Brother, Kikwete Family yani Salma na Ridhiwan ndio uite Kikwete Family.
Be logical bhana. Mbona hata Nyerere mtoto wake Makongoro amewahi kuwa mbunge wa Arusha?
Kaka jifunze siasa!!
Alimsema mama yupi mkuu na alimsema kuhusu nini?Petty issues. Alimsema mama watu wakamrekodi. Behind the scenes watu wanaongea ya moyoni,ya ukweli.
Na ile kesi vipi? Na ile kuhujumu project ya Malaria Kibaha vipi? Humjui Ummy wewePetty issues. Alimsema mama watu wakamrekodi. Behind the scenes watu wanaongea ya moyoni,ya ukweli.
Kama hujui hata Makongoro mbunge mwaka gani!! Kweli tutaweza kujadiliana?Unafananishaje ya Makongoro Nyerere na Kikwete!?
Makongoro Nyerere alikua mbunge mwaka gani!?
Tuje kwa Ridhwani,unaamini hakukuwa na mtu wa kushindana na Ridhwani humo humo CCM!?
Haijaishia hapo mama yake na yeye amewania nafasi hiyo hiyo kama ilivyo awali.
Matokeo yake unaingiza watu wapuuzi kwenye serikali na wanafanya upuuzi kisa wamejiwekea legacy humo ndani.
Huyo Bill Clinton uliyemtaja familia yake ilifanya kama hivi!?
Je huyo Nyerere uliyemtaja alifanya kama hivi baba kumpigia debe mkewe na mtoto wake waingie uongozini wakati mmoja!?
Mkubali mkatae hiki chama ni saratani hapa nchini.
Huku Kigamboni wamechagua hadi mabeki tatu kuwania udiwani na wengine serikali ndogo pia.
Kisa tu wanawahonga pesa wajumbe wanaopiga kura za maoni.
Na unategemea hawa ndio watufikishe MAHALI!?
Mimi siyo mwanasiasa, wala sitafuti vyeo vya kisiasa.Kaka kila mtu yupo na uhuru wake. Usinilazimishe niamini siasa zako kaka. Wewe endelea kueneza siasa zako hizo huwezi kukosa wafuasi.
Asante, nipo hapa Njombe kuna baridi kinoma napata Gahawa
Makongoro alipigiwa kura tena akiwa chama cha Upinzani, NCCR Mageuzi enzi za Kura ina heshima yake.Brother, Kikwete Family yani Salma na Ridhiwan ndio uite Kikwete Family.
Be logical bhana. Mbona hata Nyerere mtoto wake Makongoro amewahi kuwa mbunge wa Arusha?
Kaka jifunze siasa!!
Sasa tofauti yake na Ridhiwani ni nini?Makongoro alipigiwa kura tena akiwa chama cha Upinzani, NCCR Mageuzi enzi za Kura ina heshima yake.
Pia hio inawezekana. Unless CAF wanataka kuona empty Tanzania stadiumsFinal tu?! Ongeeni na CAF wawape the whole tournament.
Okay go ahead then.Pia hio inawezekana. Unless CAF wanataka kuona empty Tanzania stadiums
Unaelewa swali langu mkuu!?Kama hujui hata Makongoro mbunge mwaka gani!! Kweli tutaweza kujadiliana?
Kwani anashindana na nani?Sasa tofauti yake na Ridhiwani ni nini?
CHAN imekuja wakati mzuri Kemya. When the country is in turmoil then boom something to cheer about!Pia hio inawezekana. Unless CAF wanataka kuona empty Tanzania stadiums