Unaongea hapa yet entire Northern Tanzania uses Mombasa Port 😂😂80 percent ya Mombasa total cargo is destined within Kenya 18 percent in transit to Uganda
Photoshop
Tunaijua hii Media imewahi kufungiwa kwa kuongea uongoUnaongea hapa yet entire Northern Tanzania uses Mombasa Port 😂😂
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1938941768441176199?t=leOAJCD8pvXpTrt-F1SRHg&s=19
Sawa shoga.Photoshop
Wakenya ni maskini, kila mtu anajua hiloSawa shoga.
Sawa shogaWakenya ni maskini, kila mtu anajua hilo
Inawezekana na nafasi inatosha mkuu, wajenge tunnel kutokea ile njia ya kwenda bandarini ili gari za kutoka kule zipite chini na gari za kutoka feri (white house) zipite juu ya tunnel then hizi za kutokea kamata kuelekea airport zijengewe ka flyover mzunguko, gari za kutokea ferry kama zinataka kwenda kamata (Congo street)zipite mchepuko zielekee njia ya bandarini ambapo wataweka roundabout ili zirudi kuja kamata.Mkuu unapajua Kamata? Kamata ipo katikati ya veta flyover na sgr viaduct. Kile ki stretch hakizidi 300m utajemgaje flyover hapo? Msisahau kabla ya ujenzi walifikiria yote hayo.
Mbona sababu ziko hapo ni UKARIBUUnaongea hapa yet entire Northern Tanzania uses Mombasa Port 😂😂
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1938941768441176199?t=leOAJCD8pvXpTrt-F1SRHg&s=19
Hio tunnel unaichimba kuanzia wapi na inatokea wapi? Tunnel ya magari njia sita sio kama tunnel wa wavuka barabara.Inawezekana na nafasi inatosha mkuu, wajenge tunnel kutokea ile njia ya kwenda bandarini ili gari za kutoka kule zipite chini na gari za kutoka feri (white house) zipite juu ya tunnel then hizi za kutokea kamata kuelekea airport zijengewe ka flyover mzunguko, gari za kutokea ferry kama zinataka kwenda kamata (Congo street)zipite mchepuko zielekee njia ya bandarini ambapo wataweka roundabout ili zirudi kuja kamata.
Illustration 👇👇
View attachment 3457610
Mkuu nafasi ipo kubwa tena ya kutosha kabisa, tatizo hawataki kuvunja wanaogopa cost ambazo ni ndogo tu ukilonganisha na muda unaopotea pale. Hiyo tunnel inatakiwa ichukuwe nafasi kubwa upande wa bandarini, huku kamata ifanye kama inatokezea, kuna majengo mengi yameingia kwenye road reserve lkn hawataki kuyabomoa, ama pengine wanaogopa fidia ama ni ya wenye serikali ambapo inapelekea kulazimika kujenga vibarabara vyembamba na vingine vinakosa mpaka sidewalks kama hiyo njia ya kutoka ferry to airport, ushuzi mtupu.Hio tunnel unaichimba kuanzia wapi na inatokea wapi? Tunnel ya magari njia sita sio kama tunnel wa wavuka barabara.
Elezea hapa tunnel ichimbwe kutoka wapi na iwe na urefu gan iibukie wapi,iwe chini kina gani ili isilete mushkeri wowotw kwa sgr viaduct.
Tunnel sio kama flyover ambayo unaweza kuipachika popote penye nafasi. Ile tunnel ya sgr hapo veta ni kama mtaro tu kutoka upande mmoja wa barabara hadi mwingine.
Hebu niambie kujenga kitu kama hiki pale kamata haiwezekani? Na kwann haiwezekani wkt nafasi ni kubwa.Hio tunnel unaichimba kuanzia wapi na inatokea wapi? Tunnel ya magari njia sita sio kama tunnel wa wavuka barabara.
Elezea hapa tunnel ichimbwe kutoka wapi na iwe na urefu gan iibukie wapi,iwe chini kina gani ili isilete mushkeri wowotw kwa sgr viaduct.
Tunnel sio kama flyover ambayo unaweza kuipachika popote penye nafasi. Ile tunnel ya sgr hapo veta ni kama mtaro tu kutoka upande mmoja wa barabara hadi mwingine.
Unajua dimensions za hio picha hapo au unaona simple tu? Hivyo vitu vinahitaji nafasi. Anyway sawa inawezekana.Hebu niambie kujenga kitu kama hiki pale kamata haiwezekani? Na kwann haiwezekani wkt nafasi ni kubwa.View attachment 3457631
Kwamba kuna magari mengi kutoka Kariakoo kwenda Goms?Hebu niambie kujenga kitu kama hiki pale kamata haiwezekani? Na kwann haiwezekani wkt nafasi ni kubwa.View attachment 3457631
Upigaji tu, kwenye engineering hakuna kinachoshindikana kama mtaamua, huu upigaji ndiyo huo unaoendelea ile njia ya uhuru road ya kutoka buguruni to karume, wameshindwa kuvunja majengo kujenga barabara pana wamefosi kupita mule mule majengo yalipoishia, ni kama Nyerere road pia wamefanya hivyo hivyo, imagine njia ya uso wa nchi wanai sodomize namna ile.Unajua dimensions za hio picha hapo au unaona simple tu? Hivyo vitu vinahitaji nafasi. Anyway sawa inawezekana.
Sijaelewa concern yako.Kwamba kuna magari mengi kutoka Kariakoo kwenda Goms?
I mean Kamata, pale ni ROUND ABOUT ya Kariakoo, Posta, Kurasini, Airport.Sijaelewa concern yako.
60/40 in favor of CBD to AirportI mean Kamata, pale ni ROUND ABOUT ya Kariakoo, Posta, Kurasini, Airport.
Foleni kubwa inatokea sehemu gani?