Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kamata panahitaji flyover, magomeni, kinondoni morocco, mwenge, kigogo, buguruni sheli, hata pale ilala boma sema wamerudia makosa yale yale ya kila siku

dar es salaam inahitaji flyover takriban 10 za kuanzia ili angalau kufuta foleni kwa asilimia fulani
 
Hold on mkuu kabla ya kuchomoa sindano embu turushie current picha za pale Muindi mbingu street hapo city market tuone kidogo 😁
hio ndio sehem pekee nairobi imewekwa paving ya pedestrian tena katikati ya barabara ndio zile picha hua wanapost hapa ukitoka nje ya hio muindi mbingu street kote ni kwangu pakavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwenyeki wapumzishe warudi hewani wao kija Dar wanakosa hata cha kuposti uchafu hakuna wakuu wa wilaya, mkuu wa mkoa meya,na watendaji wengine wanaweza kuacha Dar ikachafuka kiasi hicho kweli hatujafika huko na hatutafika huko kamwe
We fala mwezi jana sio kiswahili cha TZ,baki kwenu huko huko machafu chafu


Mwenyekiti sisi tunaomba tu urudi salama. Ukiweza we funga usile wala usinywe chochote. Upo Mazingira hatarishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Cha muhimu zaidi usiache kufinya hizi Pulizo πŸ˜‚aka Kende au Float switch πŸ˜‚


View attachment 3456081
 
Legezeni waje na vigorofa, expressway na talanta maake hakuna kingine zaidi ya hivyo
Kunyaangisi, Ngamia kageuka mbwa koko, anakula jalalani 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mwenyekiti sisi tunaomba tu urudi salama. Ukiweza we funga usile wala usinywe chochote. Upo Mazingira hatarishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Cha muhimu zaidi usiache kufinya hizi Pulizo πŸ˜‚aka Kende au Float switch πŸ˜‚


View attachment 3456081
 
ile nairobi river alioahidi ruto na pesa ikatoka ikaliwa akasema itakua sehemu nzuri ambayo mpaka samaki watavuliwa hapo ndio hii imebakia sehemu ya watu kula madawa ya kulevya na bangi πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»


 
Inakuwaje 90% wameweka nguvu, Nairobi lakini muonekano wake inakuwa hivi??
 
Full uchafu full jobless,kunyaland nchi ya kizwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…