Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,133
- 5,607
No residential area in kunyarenda can beat Upanga, nenda kawadanganbye wanuka mavi wenzako. π€£π€£π€£π€£ ichoboy01 yupo Nairobi now and we all see whatβs happening. Mitaa zenu ni sawa na tendale with some high rise buildings. Tena kuanzia leo ukome kutaja vimitaa vya wapumbavu huko kenya..Mlichoka kulinganisha Opanga na Westlands mkaamua mjidegrade to Kilimani? I assure you bado mtadegrade further cause that Opanga is not yet in the level of Kilimani.
Kunyaangisi, Ngamia kageuka mbwa koko, anakula jalalani π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huku ni wapi tena! πππ
View attachment 3455662
Airport Kunyaland ni moja tuu bibi kizee wa Embakasi πThe busiest Airport. Kisumu international airport iko wapi?
Na iko busy kwasababu inatumika kama regional hub.Airport Kunyaland ni moja tuu bibi kizee wa Embakasi π
Wazee wa PR
Unataka kuanzisha vita humu ndani?Airport Kunyaland ni moja tuu bibi kizee wa Embakasi π
Duh hata decent mitaro na kerbs ni shida huko kunyalandchini ya expressway ya mchina njia ambayo wanapita wakenya 99% kwangu pakavu tia mchuzi πππππ
politicians wao wanapita juu, huwes kua tajiri kenya kama haukp kwenye familia ya politicians never ever mpaka kufa
View attachment 3455536View attachment 3455537View attachment 3455538View attachment 3455539
so ww kwa akili yako unategemea player wa kenya acheze team gani hapo kenya ikiwa mishahara tu hawalipwi πππMaplayer wao hawana talent kabisa
Wanzungukia yanga Simba azam tu
alaf imagine ana haki zote sawa na binaadamu utakuta hata driving licence na ID anayoπππππHuyu Punda anachanja mbuga road nae anaishi mjini Nairobi?
ngamia wanakula wanashiba wanawaacha wakenya na njaa πππHuku ni wapi tena! πππ
View attachment 3455662
panaitwa eastleigh nairobi ile sehemu hua wanapiga picha kwa juu alaf wanawadanganya humu ndaniππHapa wapi?
πππππππ haya kaka wacha nichomoe sindano πππChairman utaua inatosha πππ.
Iran iliionea huruma Israel embu tumia busara ya Ayatollah Khamenei basiππ.
kuna wakenya wenye haki kama kondoo, mbuzi, ngamia na punda na tena wana ID kabisa unataka wakale wapi kakaπππKwan huko hawanaga magari ya Taka?
Barabara zao hazifagiliwi?
Hawa si ndo usema Tz iko 50 years behind them.
Imagine hii sehemu na uzuri wake itafumuliwa upya na kujengwa BRT
View attachment 3455746View attachment 3455747
umaskini kaka hawa jamaa ni maskini wakupindukia ππππ yani kuna gap kubwa sana kati ya politicians na raia wa kawaidaSasa mbn seem zote ni chafu mpk CBD? Kwann hawa wakenya ni wachafu namna hii?
huyu jamaa akifanya uwekezaji basi ni uwekezaji kweli sio maneno mengi kama yule muhindi janja janjaππππNaona Bakhresa kaingia kwenye biashara ya cooking oil? Jamaa wa BIDCO wakae Chonjo!
Bakhresa launches US$100M cooking oil refinery in Malawi, tar ...
The refinery, with a daily crushing capacity of 500 metric tonnes (MT) plans to purchase up soya beans from local producers.millingmea.com
Mwenyekiti sisi tunaomba tu urudi salama. Ukiweza we funga usile wala usinywe chochote. Upo Mazingira hatarishiπππimagine ile parkland hua munaoneshwa humuππππ
View attachment 3455499
View attachment 3455501
Mara unasikia Laizer kapiga billion 20 za Tanzanite mirerani Arusha au jamaa zetu wa Chunya ameuza dhahabu zake na kupata billion 30. Aisee hatufanani na hawa ngombe kabisaIla muda mwingine hata ungekuwa wewe roho ingeuma.
Unaamka asubuhi unasikia bongo kuna mjinga kaiingiza semi 100 , kufikia saa mbili asubuhi unaambiwa kuna meli imeshusha units 117 za yutong buses tu , jion unakuja ambiwa kuna faw bagamoyo wanajenga assembly plant ya 500,000 units kwa mwaka.
Mchana unaambiwa mbona Howo Tanzania inatoa units 30 kwa siku sawa na units 11,000 kwa mwaka wakati Kenya hapo mzalishaji mkubwa anatoa units 600 kwa mwaka yaani Kila siku units mbiliπ€£π€£π€£π€£π€£
ππππππππMwenyekiti sisi tunaomba tu urudi salama. Ukiweza we funga usile wala usinywe chochote. Upo Mazingira hatarishiπππ
Cha muhimu zaidi usiache kufinya hizi Pulizo πaka Kende au Float switch π
View attachment 3456081