Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku hizi watanzania wanaogopa kulinganisha their dwarf cities with Kisumu in terms of tall buildings.

6 more towers of 11 floors coming up along the shores of Lake Victoria in Kisumu.

View attachment 3452697View attachment 3452698
As of now, no city in kunya renda kando Ya Nairobi inaweza shindana na Dom likija suala la high rise buildings. We are not talking of Affordable housing projects. 🤣🤣🤣
 
Hebu taja hizo kumi tuone hapa
Most of buildings Tanzania za kimkakati na kibiashara zinajengwa na:


Hizo kampuni zote kila siku kazi yao ni UJENZI tu, hakuna kingine.

Ndio maana WE OWN our CITIES, ila Nairobi huko Westlands mmeachia wahuni tu.

Saaa hivi mmeachiwa wasomali South C, na Wachina wanajenga Kilimani mpaka Syikomu
 
Flyover gani mnajenga.

Eurobond na Expressway zinawamaliza na hazikujengwa kwa public interest.

  • Eurobond
  • Expressway


Na sasa mnaenda kujiweka kwa Panda Bond.

Kwisha kazi.
Wewe jinyonge kama unaumia hivyo sana. Vilaza wenzako si Kila siku hapa wanatuambia kwamba tunajenga flyovers bila uhitaji?
 
Bongolala, stop beating around the bush. Show us affordable housing projects being undertaken in your shithole country
 
Wengi humu ni jaluo na "wako kwa serikali" "mtu wao yupo kwa serikali" hawapendi namna mnavyo share hizi mambo humu. 😂😂😂
Tanzania kuna NHIF,

Watu wanalipa kwa CONTROL NUMBER au MAKATO DIRECT kwenye mishahara yanaenda kwenye account za NHIF, na inalipa vituo.


NHIF wana Website yao na huduma zote ikiwemo VERIFICATION na SELF SERVICE (National Health Insurance Fund)


Sasa hawa TECH CITY of AFRICA, Check hizo COMPLICATION, ilimradi WAPIGWE tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…