Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is like Kenya is appealing yesterday's decision by the Senegalese ref to disallow a genuine goal. If it goes through, Kenya could be in the Semis
 
What kind of yapping is this?

Kukimbiza kunya ipi? Kunya ambayo Mombasa - Nai imeweka garimoshi still lina matatizo na madeni kudefault, train limeishia porini,

Kazi kuzunguka kutafuta bwana wa kufund na hampati.

Alafu usidharau ukubwa wa Viongozi wa Tz, Even waziri ana more influence.

Huoni huko Japan mmepeleka Raisi kabisa (Supapawa) mmepeleka Raisi kuwa relevant ila Sisi tumepeleka Waziri wa Mambo ya nje, still deal zinafungwa, while Raisi anajiaibisha na kujichoresha na Mchele
 
Msukuma anakuja Kenya kufanya nini?

Unazijua kqzi za wasukuma??
Jamaa msenge sana tukitaja Kabila sio ukabila ni kusifika kwa shughuli maalumu.

Mfano Wakurya na Majeshi.

Seriously Msukuma eti aende Kenya 😂😂😂 Dah naanza imagine Msukuma akiwa analisha ng'ombe Nairobi National Park 😂😂
 
Hii ni shida kubwa africa mzima,waafrika hatuna utaratibu wa kupanga na sio miji tu ila vitu mingi sinazo husika na umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…