Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuambia kitaaaambo uweke a 12 lane highway atakama ni 200metres ukaweweseka. sasa weka wenzao waone ukweli pia.
zikwapi mega projects ???? hebu taja leo tuzisikie naskia unajitapa muna mega project kuliko tanzania sasa tutajie moja baada ya moja ili twende sawa
 
fly over zao wanapanga matofali hahah kama flyover ndio hzo basi bora dar tusiwe nazoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hawa watu waajabu kiukweli
SGR Reli safi wakanunua mitungi ya chang'aa eti Treni
leo wanatuletea Zizi la Mbuzi eti Fly over!!
 
Nilikuambia kitaaaambo uweke a 12 lane highway atakama ni 200metres ukaweweseka. sasa weka wenzao waone ukweli pia.
Hiyo ndiyo mega project ya Kenya? kwahiyo mkiwa na 12 Lane na sisi lazima tuwe nazo? Wewe orodhesha hapa mega projects mlizonazo wewe. Ukiendelea kupotezea itakuwa proved kwamba wakenya mnaongea tu but your very poor.
 
Hawa watu waajabu kiukweli
SGR Reli safi wakanunua mitungi ya chang'aa eti Treni
leo wanatuletea Zizi la Mbuzi eti Fly over!!
mchina sio mtu mzuri yani karekebisha zile zile treni chakavu aka gari moshiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
You argued there are no interchanges being constructed outside capital city Nairobi so let me show you know
Eldoret bypass and interchanges
 
Hiyo nduyo mega project ya Kenya? kwahiyo mkiwa na 12 Lane na sisi lazima tuwe nazo? Wewe orodhesha hapa mega projects mlizonazo wewe. Ukiendelea kupotezea itakuwa proved kwamba wakenya mnaongea tu but your very poor.
akikuekea tu nitagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nipe kitu kama hiki toka Nairobi.
Sitaki maelezo meeeeeeeeeeeengi

Waulizia lower middle income estate, coz that's what that is. Lemme enlighten you. Business districts look like this

CBD





upper hill


westlands




Kilimani


Ngara




ABC place


Ole Sereni


Parklands


Transitional zone(River road and downtown)




 
Pamoja na majigambo na kutunishiana misuli,ukweli ni kwamba Nairobi ina magorofa mengi marefu na yako spaced vizuri kuliko dar na pia Nairobi and Kenya at large wana infrastructures ambazo ni state of the art kuliko dar..Ila dar imepiku Nairobi kwa wingi wa magorofa regardless of height na yako congested sana coz dar z big in terms of popn kuliko nai lakini watch out,Dar is coming speedy
 
Nimekuwekea Video. Weka video rafiki. Mbona huko tumetoka. Mapicha mengi mno tumeweka. Mimi nimekuwekea Videoa



Pitia hizo video kisha ulete hiyo Aerial view kama niliyokuwekea
 
Hii hapa ni India mmeiga hahahaha "Kathipara Cloverleaf"



The Most Prominent Cloverleaf Interchanges in India - Hotels In South

Nairobi hahahahaha

Weka overleaf ya Dar
Ya nairobi Udongo kama zizi la Kondoo
pumzika leo kisu kimegota kwenye mfupa kisawasawaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±
fly over za kupanga matofali ndio unatuonesha sisi plz kua serious tafadhali nilifkiri utatuonesha vitu kama hvi
View attachment 663794
 

Yes! KICC (Nairobi),one of the most iconic buildings in the world. Globally recognized landmark in the league of The Eiffel Tower (Paris),Big Ben (London),The Opera House (Sydney),Stature of Liberty (New York),Christ the Redeemer (Rio de Janeiro),Taj Mahal (India),Pyramids of Egypt (Egypt), Brandenburg Gate (Berlin)























 

Attachments

  • upload_2017-12-30_18-1-52.jpeg
    7.2 KB · Views: 39
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…