Ilikuwepo Vision 2030 enzi hizo tupo SSC ilikua hatulali mkuu, Ikaja na issue nyingine ya HUB π, Halafu COW , Mammmae sasa hivi wamesahau kila kitu wanatembelea Kichwaπ.Sijawahi kusikia Kenya wana vision
Nilijua Tu kama kuna madudu, na mimi nawalaumu Karia na genge lake, siamini kabisa kama msigwa na mwana FA walishindwa kupiga promo ya kutosha. Huyu lazima ni Karia tu!!You will never know. A 'rift' between TFF and sports and culture ministry caused all this BS.
Football politics. We gonna learn from this. Won't happen again. At least we got a second chance, AFCON proper.Bongo Yote is empty for tonight's decisive matches. Tanzanian fans attendance have let down East Africa in this tournamentView attachment 3446606View attachment 3446607
Oyaaaa KETRACO is a high voltage transmission company, geothermal inafanywa na GDC Kenya.TZ ina production ya zaidi ya 4000MW za umeme kwa sasa.
Ila kuna projects nyingi za umeme zinaendelea za Maji, Jua na Georthermal.
Sisi hatuna shida, Kenya wameshafanikowa kwenye Geothermal lazima tuje kufanya benchmarking.
Nadhani hata KETRACO ilipewa tender ya kusaidia -drilling project yetu ya Geothermal, Ngozi.
View: https://youtu.be/fl5nDqxoC4Q?si=EDV3B01lxFcTS8Fh
I respect ur true observation .. my major concern is if fans couldnβt make it in stadiums in the middle of the cities, what gonna happen to Arusha which is in Serengeti. You better have a plan B for AFCON..Football politics. We gonna learn from this. Won't happen again. At least we got a second chance, AFCON proper.
Oh, yeah! Let's turn up a notch, have you ever had the balls to tell your former colonial master, do this or else?But Kenyans will shame even their President.
nahisi imechukuliwa na GSMMkuki mall ilinisikitisha sana.
kuanzia lungalunga mpaka likoni kote umaskini unanukia πππUkitokea Ukunda kama unakuja Likoni hapo kati kuna kamji kamechoka balaa.
Whoever told you Arusha stadium is in Serengeti is an idiot. It's just outside the city and any city/town outside Dar when they say outskirts of the city/town it's barely 15km. By the way do you really know where Serengeti is?I respect ur true observation .. my major concern is if fans couldnβt make it in stadiums in the middle of the cities, what gonna happen to Arusha which is in Serengeti. You better have a plan B for AFCON..
Kama ataifufua it's okay. Manispaa wamechemka.nahisi imechukuliwa na GSM